Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

We uko kwenye kirefu Cha DCI mpaka sasa,au hujaona shahidi akisema hakuona jinai yoyote kwenye vifaa alivyoextract data na kama angeona basi angereport!
Unaamini hivyo?! kweli?
 
Hivyo vifungu ulivyonukuu vinahusikaje na shauri lililopo mbele ya Jaji?
 
Umeona jaji aki react- kwa sababu anaona ni swali la kijinga ambalo it is not worth wasting time on it. Yaani umuulize jaji kama anajua kusoma na kuandika halafu akujibu swali hilo?!
Kwa hiyo shahidi wa leo mnaemuita ana kiburi ni malaika kwa mahakama kwa sababu kaokoa mda wa mahakama kwa kukataa kujibu maswali yanayopoteza mda wa mahakama
 

..unaweza kuwa sahihi.

..Jaji anaweza kuona ni swali la kipuuzi.

..Na Jaji anaweza kuona shahidi sio mkweli 100%.

..Hatuwezi kujua mtizamo wa Jaji mpaka pale hukumu itakaposomwa.
 
..unaweza kuwa sahihi.

..Jaji anaweza kuona ni swali la kipuuzi.

..Na Jaji anaweza kuona shahidi sio mkweli 100%.

..Hatuwezi kujua mtizamo wa Jaji mpaka pale hukumu itakaposomwa.
Hilo ndilo la maana. Na upande wa mashitaka wakifanikiwa kuingiza vielelezo vyao- HALF DONE. Na kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa isipokuwa mapingamizi mawali hivi nadhani yaliyoletwa na Mh. Kibatala na wenzake na kufanikiwa. Na hata hivyo upande wa mashitaka ulipata au ulikuwa na mwanya wa kuyaleta kwa njia nyingine.
 
GOOD OBSERVATION
Ila huu sio ushahidi peke yake. Nikurudishe nyuma kwenye ushahidi wa Kaaya. Kaaya alimuunga Mbowe, Adamoo na Sabaya, adamoo alikabidhiwa kazi ya kushughurika na Sabaya na akasema hiyo ni kazi ndogo sana kwake. K wa hiyo kama na kwenye mawasiliano ya simu ya Mbowe yumo- kazi kwisha
 
..Je, mpaka sasa hivi, ushahidi uliotolewa, unafikia vigezo vilivyoelezwa hapo juu?
Hati ya mashitaka inasema kuwa na mipango ya na nia ya kufanya vitendo vya kigaidi. Bahati mbaya nyie mmeaminisha muuliza na mnauliza magogo yako wapi? Vituo gani vililipuliwa? Laki 600, 000 inaweza kufanya ugaidi? sawa lakini kosa na kuw na nia ya kutaka kufanya ugaidi?
 
Acha kujitoa ufahamu dada
 
Shahidi kawapiga na kitu kizito Leo!Hakuona jinai yoyote kwenye vifaa alivyoambiwa achunguze!
 
Sasa huyo shahidi aliyeulizwa amejubu nini? Au ni nani atakayekuja na haya majibu iwapo forensic expert hajayajibu...!!
 
Sasa huyo shahidi aliyeulizwa amejubu nini? Au ni nani atakayekuja na haya majibu iwapo forensic expert hajayajibu...!!
Shahidi Kaaya alishajibu hilo swali huyu kama ameonyesha jina Sabaya limo kwenye mawsiliano yao - kuna shida hapo.
 
Kibatala: Kwa uchunguzi wako wewe ungekuta taarifa za kupanga uhalifu, ungeacha kuandika kwenye report yako kwa sababu haujaambiwa kwenye terms of reference?

Shahidi: Mimi ni Askari Polisi, kama ningekuta meseji za kupanga uhalifu ningeweka kwenye report yangu.

Kama hakukuta uhalifu wa aina yoyote kuna haja gani ya kuendelea na hii kesi?
 
Yathibitishwe na nani wakati aliyetegemewa kuyathibitisha hakuweza kufanya hivyo. In short shahidi wa leo kwa zaidi ya 60% amehitimisha shauri. Case closed; ni kutaka kuumiza watu bila sababu za msingi. Mungu atawalipia inshallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…