comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Unaamini hivyo?! kweli?We uko kwenye kirefu Cha DCI mpaka sasa,au hujaona shahidi akisema hakuona jinai yoyote kwenye vifaa alivyoextract data na kama angeona basi angereport!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaamini hivyo?! kweli?We uko kwenye kirefu Cha DCI mpaka sasa,au hujaona shahidi akisema hakuona jinai yoyote kwenye vifaa alivyoextract data na kama angeona basi angereport!
Hivyo vifungu ulivyonukuu vinahusikaje na shauri lililopo mbele ya Jaji?POTA (2002)
An Act to provide for comprehensive measures of dealing with terrorism, to prevent and to co-operate with other states in the suppression of terrorism and to provide for related matters.
(2) A person commits terror act if, with terrorist intention, does an act or ommission which-
(a) may seriously damage a country or an international organization; or
(b) is intended or can reasonably be regarded as having been intended to seriously intimidate a population; unduly compel a Government or perform or abstain from performing any act; seriously destabilise or destroy the fundamental political, constitutional, economic or social structures of country or an international organization; or otherwise influence such Government, or international organization; or
(c) involves or causes, as the case may be-
(1) attacks upon a person's life which may cause death; attacks upon the physical integrity of a person; kidnapping of a person.
(3) An act shall also constitute terrorism within the scope of this Act if it is an act or threat of action which involves serious bodily harm to a person; involves serious damage to property; endangers a person's life; creates a serious risk to the health or of the public or a section of the public; involves the use of or explosives;
Umeona jaji aki react- kwa sababu anaona ni swali la kijinga ambalo it is not worth wasting time on it. Yaani umuulize jaji kama anajua kusoma na kuandika halafu akujibu swali hilo?!..shahidi anatakiwa awe mkweli, na aonekane anasema ukweli wakati wote.
..kitendo cha shahidi kukataa kujibu maswali ambayo ni obvious tunajenga picha kwamba ana kiburi, anaidharau mahakama, na sio mkweli 100%.
..Hakuna Inspekta wa Polisi asiyejua kirefu cha DCI, sasa kwanini huyu Inspekta wa leo ananiambia mahakama kuwa hajui? Kwanini anaidanganya mahakama?
Kwani Mbowe anashitaiwa kwa kosa gani?Hivyo vifungu ulivyonukuu vinahusikaje na shauri lililopo mbele ya Jaji?
Kwani bahasha ilitoka kwa DCI wa India?MH. KIBATALA ALITAKA DCI IPI?
DCI
DCI- Drum Corps International ·
DCI Group
DCI - Dental Council of India
https://en.wikipedia.org/wiki/DCI
DCI- Drum Corps International -
- Drum Corps International (
View attachment 2088048
Swali linataka kirefu cha DCI- bahasha ya nini tena mkuu? Leo hamkupewa mahindi na mihogo ya kuchoma uko mahakamani?Kwani bahasha ilitoka kwa DCI wa India?
Umeona jaji aki react- kwa sababu anaona ni swali la kijinga ambalo it is not worth wasting time on it. Yaani umuulize jaji kama anajua kuosoma na kuandika halafu akujibu swali hilo?!
Kwa hiyo shahidi wa leo mnaemuita ana kiburi ni malaika kwa mahakama kwa sababu kaokoa mda wa mahakama kwa kukataa kujibu maswali yanayopoteza nmda wa mahakama
Hilo ndilo la maana. Na upande wa mashitaka wakifanikiwa kuingiza vielelezo vyao- HALF DONE. Na kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa isipokuwa mapingamizi mawali hivi nadhani yaliyoletwa na Mh. Kibatala na wenzake na kufanikiwa. Na hata hivyo upande wa mashitaka ulipata au ulikuwa na mwanya wa kuyaleta kwa njia nyingine...unaweza kuwa sahihi.
..Jaji anaweza kuona ni swali la kipuuzi.
..Na Jaji anaweza kuona shahidi sio mkweli 100%.
..Hatuwezi kujua mtizamo wa Jaji mpaka pale hukumu itakaposomwa.
GOOD OBSERVATIONLeo kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe upande wa utetezi kupitia Wakili Kibatala wameuliza maswali matatu muhimu ambayo Jamhuri ikiyajibu hayo Mbowe na Wenzake ni lazima watatiwa hatiani.
1. Swali la kwanza, je information iliyokuwa extracted kwenye simu inaonesha njama za kumdhuru Sabaya au zinaonesha tu jina la Sabaya?
2. Swali la pili, je information iliyokuwa extracted kwenye simu inaonesha mipango ya ugaidi ikipangwa na watuhumiwa? Kama kuvunja madaraja, kukata miti nk.
3. Swali la tatu, Je information ya miamala inaonesha ya kwamba pesa hizo zililenga kutumika kwenye ugaidi au kutumika kufadhili ugaidi?
Haya maswali matatu yakidhibitishwa na upande wa mashtaka, basi kesi imeisha na yasipodhibitishwa basi itakuwa ngumu kiwatia hatiani Mh Mbowe na Wenzake.
Hati ya mashitaka inasema kuwa na mipango ya na nia ya kufanya vitendo vya kigaidi. Bahati mbaya nyie mmeaminisha muuliza na mnauliza magogo yako wapi? Vituo gani vililipuliwa? Laki 600, 000 inaweza kufanya ugaidi? sawa lakini kosa na kuw na nia ya kutaka kufanya ugaidi?..Je, mpaka sasa hivi, ushahidi uliotolewa, unafikia vigezo vilivyoelezwa hapo juu?
Acha kujitoa ufahamu dadaHati ya mashitaka inasema kuwa na mipango ya na nia ya kufanya vitendo vya kigaidi. Bahati mbaya nyie mmeaminisha muuliza na mnauliza magogo yako wapi? Vituo gani vililipuliwa? Laki 600, 000 inaweza kufanya ugaidi? sawa lakini kosa na kuw na nia ya kutaka kufanya ugaidi?
Shahidi kawapiga na kitu kizito Leo!Hakuona jinai yoyote kwenye vifaa alivyoambiwa achunguze!Nina mashaka na uelewa wako
Bado atakuja mtu atakaye chunguza computa za watoto wa Mbowe maana Mbowe alijiona mjanja ila msemo wa Kiswahili- NDEGE MJAJA HUNASWA NA TUNDU BOVU.
- kazi ya shahidi ilikuwa kuunga mkono ushahidi wa wataalam wa Tigo na Airtel na amefanya hivyo
- kazi ya shahidi ilikuwa kuwaunga pamoja urio na Mbowe na wenzako na kwa kufanya hivyo anaunga mkono ushahidi wa shahidi anaitwa Kaaya
- kazi ya shahidi ilikuwa kuunga mkono ushahidi wa Kingai ambaye aliwakamamata baadhi ya watuhumiwa na simu
Tundu bovu ndio hawa polisi mnao wadhihaki mkisau mlisoma wote; wao wako kazini nyie mnatembeza bahasha na kushinda mahakamani.
POLEAcha kujitoa ufahamu dada
Ndio shahidi kashatoa ushahidi na judge kaandika!Unaamini hivyo?! kweli?
Sasa huyo shahidi aliyeulizwa amejubu nini? Au ni nani atakayekuja na haya majibu iwapo forensic expert hajayajibu...!!Leo kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe upande wa utetezi kupitia Wakili Kibatala wameuliza maswali matatu muhimu ambayo Jamhuri ikiyajibu hayo Mbowe na Wenzake ni lazima watatiwa hatiani.
1. Swali la kwanza, je information iliyokuwa extracted kwenye simu inaonesha njama za kumdhuru Sabaya au zinaonesha tu jina la Sabaya?
2. Swali la pili, je information iliyokuwa extracted kwenye simu inaonesha mipango ya ugaidi ikipangwa na watuhumiwa? Kama kuvunja madaraja, kukata miti nk.
3. Swali la tatu, Je information ya miamala inaonesha ya kwamba pesa hizo zililenga kutumika kwenye ugaidi au kutumika kufadhili ugaidi?
Haya maswali matatu yakidhibitishwa na upande wa mashtaka, basi kesi imeisha na yasipodhibitishwa basi itakuwa ngumu kiwatia hatiani Mh Mbowe na Wenzake.
SAWA tusubiri hukumuNdio shahidi kashatoa ushahidi na judge kaandika!
Shahidi Kaaya alishajibu hilo swali huyu kama ameonyesha jina Sabaya limo kwenye mawsiliano yao - kuna shida hapo.Sasa huyo shahidi aliyeulizwa amejubu nini? Au ni nani atakayekuja na haya majibu iwapo forensic expert hajayajibu...!!
Yathibitishwe na nani wakati aliyetegemewa kuyathibitisha hakuweza kufanya hivyo. In short shahidi wa leo kwa zaidi ya 60% amehitimisha shauri. Case closed; ni kutaka kuumiza watu bila sababu za msingi. Mungu atawalipia inshallah.Leo kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe upande wa utetezi kupitia Wakili Kibatala wameuliza maswali matatu muhimu ambayo Jamhuri ikiyajibu hayo Mbowe na Wenzake ni lazima watatiwa hatiani.