Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022
Hapo wajomba hakuna cha shahidi wala mwanasheria hapo kuna kanjanja tu.Kesi hii serikali inaendelea kupata aibu mchana kweupe. Si vizuri kupoteza muda wa mtu ulimwenguni kadiri allah alivyomuwekea ni dhambi kubwa uongozi huu wa ccm umeona uendelee kukusanya laana kwa kesi ambazo hata wao ccm na serikali yao wanajua hazina ukweli wowote. Mwanamke asije kupewa tena nchi haya ndio yalitokea malawi hadi tukataka kuvamiwa mambo ya wanawake hayo.
 
Wakili Peter Kibatala na Mtobesya have to coach their fellow counsel especially John Mallya,Matata on how to cross examine.

I do really appreciate Mr. Kibatala kwa sababu ni fundi sana katika mahojiano kinzani (Cross examination). Hakika bila yeye kusingekuwa na huu udambuudambu.
Mbona Mallya anafanya vizuri.
 
Ni lini zamu ya Mbowe kuhojiwa akiwa kizimbani kama mshitakiwa ? Au sivyo nifikiriavyo mambo sivyo yalivyo nishazoea kesi za magendo ya karafuu.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakili JOHN MALLYA: Hizo ni fact Mpya

Jaji: alisema Jana kuwa Wana Extract na Kuprint, haiwezi kuzichanganua

Wakili JOHN MALLYA: Sawa Mheshimiwa Jaji

Wakili NASHON NKUNGU: Mheshimiwa Jaji nina maswali na majibu ya Mtobesya ya jana

Jaji: Umesoma wapi?

Nashon Nkungu: Wenzangu walikuwa wame rekodi

Jaji: Umetoa wapi, Naona una refer kwenye simu, wala huna karatasi

Nashon Nkungu: Basi Mheshimiwa Jaji naomba nikae.

Jaji: Inavyoonekana ni kama kuna source nyingine, Maana proceedings bado sija' certificatify, sasa huyo ana refer kwenye simu, inaonekana kuna source nyingine kwenye simu zaidi yangu....

Wakili Peter Kibatala: Mheshimiwa Jaji Technology imekuwa Kubwa Pia, maana hata sisi mawakili tuna Group la WhatsApp na tuna' share Taarifa na nyaraka mbalimbali humo ndani..

Jaji: Ndiyo Nimeona yeye kashika simu na ninachojua Mtobesya atakuwa kaondoka na simu yake, sasa yeye (Nashon Nkungu) anatoa wapi au ana source nyingine?

Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...

Jaji: tuendelee...
 
Uamuzi mdogo uliotolewa na Jaji leo umemzuia huyo ndugu kuingia Mahakamani. KWani alifanya nini?
 
Kumbe shahidi ana mimba ?.Kuna hatari ya mimba kutoka maana maswali ya mawakili.wasomi.ni nkafu kama imbalile.
 
Back
Top Bottom