Afadhali ugongane na train la mwendokasi mkuu.Kumjibu Kibatala ni zaidi ya mtihani aisee! Mimi sio CDM ila sijaona kesi hapo ya Mbowe. Upuuzi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali ugongane na train la mwendokasi mkuu.Kumjibu Kibatala ni zaidi ya mtihani aisee! Mimi sio CDM ila sijaona kesi hapo ya Mbowe. Upuuzi sana
Mbona Mallya anafanya vizuri.Wakili Peter Kibatala na Mtobesya have to coach their fellow counsel especially John Mallya,Matata on how to cross examine.
I do really appreciate Mr. Kibatala kwa sababu ni fundi sana katika mahojiano kinzani (Cross examination). Hakika bila yeye kusingekuwa na huu udambuudambu.
Oh! Lies, lies everywhere. Illiterate police guarded witness. "AIBU TUPU!".Mungu wa mbinguni awape wepesi!
Unajua maana ya mchongo ?Yani mwanasheria gani huyu asiyejua sheria?
[emoji38][emoji38][emoji38]Ni lini zamu ya Mbowe kuhojiwa akiwa kizimbani kama mshitakiwa ? Au sivyo nifikiriavyo mambo sivyo yalivyo nishazoea kesi za magendo ya karafuu.