Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

Chugastan home hawajawahi kuniangusha, naamini watachoma kila kitu cha sisiem!

Haiwezekan kila siku kufanyiwa hujuma tukabaki kulalamika, siasa chafu na za kizandiki zinajibiwa kwa mtindo huo huo, ngoja tupeleke majeshi tukajibu mapigo
 
Nimeumia sana hivi Rais magufuli kwanini agawagi hela akifika Kusini? Tulimkosea nini sisi watu wa kusini wakati huku tangu nchi ipate uhuru Ccm imetaga lakini akifika uku Agawi hela kama ilivyo kuwa mikoa mingine, Akumbuke mzee mkapa amezaliwa na amezikwa kusini .
 
Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki

Thread ikianza mapema ndio inakuwa na page nyingi? Hii ni akili au matope? Kwa taarifa yako kuna threads Zina miaka humu ndani na hazina hata page 3. Mkiambiwa ccm hamuwezi kujenga hoja muelewe. Na hili ni tatizo la kuanzia mwenyekiti wenu. Acheni hilo la kuchoma moto ofisi, ingieni kwenye hatua ya mauaji kwa wanacdm, ila iko wazi watu wanataka mabadiliko na bado hawajayapata.
 
Hacha ufenenge we mbwa, tunajua walimuibia kura zake.
 
Hacha ufenenge we mbwa, tunajua walimuibia kura zake.

Unajua wewe na nani? Huyo EL unayejifanya wakili wake wakusema kaibiwa kura yuko ccm karudi nyumbani na anamuomba JPM aendelee kutufinya zaidi kuleta nidhamu, maana serikali na wananchi tulibweteshwa kwa uzembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…