Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

Hufinye kwa matendo halali na si kibabe, nchi hii ina katiba pia akumhuke kuna leo na kesho pia kuna Mungu
Unajua wewe na nani? Huyo EL unayejifanya wakili wake wakusema kaibiwa kura yuko ccm karudi nyumbani na anamuomba JPM aendelee kutufinya zaidi kuleta nidhamu, maana serikali na wananchi tulibweteshwa kwa uzembe.
 
Watu wamechoma ofisi yao kutafuta kiki. Pumzi imewaishia mapema sana hawa jamaa. Sanduku la kura litawasaliti, hawataamini.
Kama hii ni kiki inaweza kuwalipa vibaya mno. Kama sio kiki huyo aliyefanya anazidi kuwatengenezea public attention badala ya kuwapoteza.
 
Kma mliweza kujipiga risasi, kujilipua kwa bomu mtashindwa kuchoma ofisi zenu. Ikulu mtaisikia na kuisoma kwenye maandishi
 
Kuweni makini Ndugu zangu sasa wasiojulikana wamekuja kivingine. Ila ninawafahamu haya majambazi ni ndata wa tanzania pingeni hapa lakini ukweli utajulikana tu! Akamatwe tu mmoja apigwe kiberiti!
 
Katika Isaya 43:2, BWANA anasema....

Upitapo katika maji mengi NITAKUWA PAMOJA NAWE ;
na katika mito, HAITAKUGHARIKISHA ;

uendapo katika moto, HUTATEKETEA;
wala mwali wa moto HAUTAKUUNGUZA.
 
Katika Isaya 43:2, BWANA anasema....

Upitapo katika maji mengi NITAKUWA PAMOJA NAWE ;
na katika mito, HAITAKUGHARIKISHA ;

uendapo katika moto, HUTATEKETEA;
wala mwali wa moto HAUTAKUUNGUZA.
mstari huu ni muhimu sana Tundu Lissu aukariri na kuutumia kwani ni very inspiring spiritually.
 
Mnampokea rais wenu ambae hatapata zaidi ya asilimia 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…