sheikh ponda naye yupo kwenye msafara na hapo alikuwa akiwasalimia wananchi wa dodoma waliohudhuria kwenye mkuta
msimu wa mavuno,sheikh ponda naye yupo kwenye msafara na hapo alikuwa akiwasalimia wananchi wa dodoma waliohudhuria kwenye mkutanoView attachment 1603177
Hakuna CCM wa dizaini yako.Mimi ni CCM mwenzako, mwanachama hai na Kada. Sio kila mtu humu akiongea jambo ambalo haliifurahishi CCM na serikali unadhani mpinzani. Kuna mambo tu hatuwezi kuandika kwa sababu mbalimbali
Ukiandika ujinga, jitaidi iwe kwa ufupi.Ukweli ndio huo na wanachama pekee wa ccm wenye kadi ni wengi kuliko wa chadema ,pili ccm tayar ina madiwani na wabunge waliopita bila kupingwa na ikiwa chadema na Zambarau walisema watapita nchi nzima kusema ili watu wao warudishwe ila ni wachache tu ndio waliorudi yaani hapa nazungumzia madiwani na wabunge tu vipi iwe kwa Rais kwamba chadema ishinde inaanzaje kwa mfano haina hata mtaji wa wabunge ni kichekesho cha karne katika miaka ya chaguzi hii ni nyepesi kuliko hata za Nccr ya Mrema,Dr Slaa na Lowassa huu wa sasa Lissu kawa mpinzani kwa kusemewa Twitter na JF ila kiuhalisia jamaa atashindwa vibaya sana.
Mf. 2015 Ccm m8 na Chadema m6 na hapo Ccm ilikuwa na asilimia 59 nadhani ila chadema 39 na jamaa alikuwa nyoko kweli hata mimi nilimpigia Lowassa maana kipindi hicho ccm ilikuwa imechokwa vibaya sana na hao waliungana wote yani sasa iwe leo tena kwa ushuzi wa ubelgiji .
Bro utaona jamaa atakavyochakazwa mimi kuna watu kabisa wameichoka ccm ila wanasema mgombea wa ubunge atakosa ila Raisi watampa Magu hiyo ndio hali halisi huku nilipo ila JF na Twitter mshindi ni Tundu wa Amstadam.
Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
CCM wanatamani hii picha ifutwe mitandao yote duniani lakini ndo hivyo tena.Hiyo ndyo picha yako na ulipiga siku ulipokuwa unasheherekea siku yako ya kuzaliwa!View attachment 1603273
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hhahha kidagaa kimewakaba ssa hivi mnaokoteza machapisho yenu ya kipuuzi tu..View attachment 1603306 Robert ameoa watu wangapi Mbona anataka kumliza baby L ?
Hhahha kidagaa kimewakaba ssa hivi mnaokoteza machapisho yenu ya kipuuzi tu..
Liberez[emoji3577][emoji2535][emoji3577][emoji2535][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Robert ameoa watu wangapi Mbona anataka kumliza baby L ?View attachment 1603321
Msukule huo, ni lazima watu wajae kumshangaa. ile kitu mtaipaata hamtakaa muamini.Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.
Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CDM na kujipitisha bila kupingwa.
Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.
Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.
Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.
=========
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu amewataka wananchi kwenda kupiga kura Oktoba 28 ili kuuondoa madarakani utawala wa CCM uliodumu tangu Tanzania ipate uhuru.
Lissu ameyasema hayo leo, Oktoba 17 zikiwa zimebaki siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28. Ameyasema hayo kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika wilayani Manyoni akielekea Kongwa halafu Dodoma mjini.
Mgombea huyo amesema uchaguzi wa mwaka huu ni muhimu kuliko wakati wowote kwa sababu utaundaSerikali itakayolinda uhuru, haki na maendeleo ya watu.
"Katika hizi siku 10 zilizobaki, hakikisheni mnahamasishana kwenda kupiga kura ili mfanye mabadiliko ya utawala wa nchi yenu," amesema mgombea huyo.
Lissu amewataka wananchi wakapige kura kuchagua uhuru wa kuwasema viongozi waliowachagua na kuwakosoa pale wanapokosea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1603323
Nyie subirini muda ufike mrudi ubelgiji kuna jambo lenu.Wakufyekelewa mbali tunawajua, subirini muda wetu, ufike, huu ni wenu najua mnatumia hata mbeleko.
We jamaa unapingwa Sana humu sijui tatizo. Eti kijani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1603324 makamanda tuna taharuki shemeji yetu Robert Kwanini anataka kusaliti baby L
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1603327
Bangi mbaya sanaHakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%
October 28 unachukua unaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
View attachment 1603324 makamanda tuna taharuki shemeji yetu Robert Kwanini anataka kusaliti baby L