Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Sio kweli mie binafsi sijawahi kulazimishwa kwenda barabarani.
Hiyo ilikuwa enzi y mwenge miaka ya 80 ndo tulikutana na kulazimishwa kufunga shughuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako wapo hapo wanalazimishwa kukuna nazi wanaume wazima, kweli ukiwa ccm ni mtihani kwa familia
FB_IMG_1518066617009.jpg
 
Huyo bulldozer watu wanalazimishwa kujitokeza, vinginevyo wanafanyiziwa kwenye shughuli zao. Hao wametoka kwa mapenzi yao.
Wafanya biashara wa mafuso wanasubiria sana mikutano ya ccm waanze kupiga ela kwa kwenda mbele.

Mikutano yoote wafanyayo lazima wawasombe watu na mafuso kama mahindi kuwapeleka mikutanoni.
Screenshot_20191126-001906.jpg
FB_IMG_1501705533332.jpg
 
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.

Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa

Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118
Asee, yani boda boda ndo unasema ni umati wa watu, hii ni hatari kweli, nafikiri Bado hajaelewa siasa ni nini.
 
Sio kweli mie binafsi sijawahi kulazimishwa kwenda barabarani.
Hiyo ilikuwa enzi y mwenge miaka ya 80 ndo tulikutana na kulazimishwa kufunga shughuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sibahatishi ninachokuambia, ni kweli kuna wanaokwenda kwa ridhaa yao, lakini wengi tu hulazimishwa na hilo sio siri. Lakini wapinzani hasa cdm hawana uwezo wowote wa kumlazimisha yoyote, hivyo hao wote wanaenda kwa mapenzi yao.
 
Hiyo siyo mpya Lowasa mlimdekia hadi barabara!

Kombe linapatika kwenye ballot box, siyo hizo mbwembwe za wana bodaboda
Mwaka huu mtatoa mapovu hadi makoo yenu yataota vidonda kisa Lissu rais mtarajiwa
 
Mkuu we subiri October huyu jamaa atapata kupigo cha mbwa mwizi wa mayai ,nakuhakikishia,akipata asilimia 5 ya kura zote nahama nchi

Narudia tena, sio kwa kura, labda kwa maagizo ya Magufuli.
 
Sibahatishi ninachokuambia, ni kweli kuna wanaokwenda kwa ridhaa yao, lakini wengi tu hulazimishwa na hilo sio siri. Lakini wapinzani hasa cdm hawana uwezo wowote wa kumlazimisha yoyote, hivyo hao wote wanaenda kwa mapenzi yao.
Wanasahau kuwa chema kinajiuza ambao ni cdm na mh Lissu.

Nao wanatembeza na mgombea wao
 
Yale yale ya mwaka 2015,Niko hapa kahama sioni shamla shamla yoyote,na isitoshe wamewekewa mafuta lita mbili kila bodaboda sasa hata kama in mimi kwanini nisijifanye nampenda Huyo lissu wenu

Ukweli mtaujua October, hamtarudia tena kumsimamisha huyu lissu maana kipigo atakachopata ni cha jini kahaba
Endelea kujitekenya CDM inachanja mbuga
 
Inawezekana akawa anatembea na risasi ya kupigwa makusudi na waoga wa kukosolewa kama wewe.

Lkn inawezekana hata wewe hapo unatembea na maradhi hatari sana mwilini mwako tena ya kujitakia kwa tamaa zako.
Mimi nina CORONA tu na nimeimudu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm sasa hivi ni mahututi anaishi kwa nguvu za oxygen
Huijui CCM wewe !!
Hapo kuna akili ambayo nchi nyingi za Afrika zinakuja kuchota.
CCM INATISHA KWA KWELI SIO YA KUOMBA KUPAMBANA NAYO. NI UJEURI TU TENA WA KIBEBERU KUSHINDANA NA
CHAMA CHA MAPINDUZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.

Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa

Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118
Kuna mambo mengine ya kuonea aibu kuyaandika; eti akinamama wanatandika khanga ili Lissu apite! Mambo ya ajabu kabisa! Hamkujifunza mlipodeki barabara 2015 na bado mkagaragagazwa? Pumbavu!

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Back
Top Bottom