Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa Baaasiiii !!Usisahau kwamba ccm wana karata moja inaitwa abrakadabra.....
hiyo wakitumia kamwe hamuwezi washinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Baaasiiii !!Usisahau kwamba ccm wana karata moja inaitwa abrakadabra.....
hiyo wakitumia kamwe hamuwezi washinda
Wenzako wapo hapo wanalazimishwa kukuna nazi wanaume wazima, kweli ukiwa ccm ni mtihani kwa familiaSio kweli mie binafsi sijawahi kulazimishwa kwenda barabarani.
Hiyo ilikuwa enzi y mwenge miaka ya 80 ndo tulikutana na kulazimishwa kufunga shughuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wangu hiki nini jamaniHii ndio kazi ccm wamebaki nayo
View attachment 1534124
Wafanya biashara wa mafuso wanasubiria sana mikutano ya ccm waanze kupiga ela kwa kwenda mbele.Huyo bulldozer watu wanalazimishwa kujitokeza, vinginevyo wanafanyiziwa kwenye shughuli zao. Hao wametoka kwa mapenzi yao.
Inakuhusu nini wewe gamba?picha hakuna ndugu!
Asee, yani boda boda ndo unasema ni umati wa watu, hii ni hatari kweli, nafikiri Bado hajaelewa siasa ni nini.Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.
Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa
Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118
Sio kweli mie binafsi sijawahi kulazimishwa kwenda barabarani.
Hiyo ilikuwa enzi y mwenge miaka ya 80 ndo tulikutana na kulazimishwa kufunga shughuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu mtatoa mapovu hadi makoo yenu yataota vidonda kisa Lissu rais mtarajiwaHiyo siyo mpya Lowasa mlimdekia hadi barabara!
Kombe linapatika kwenye ballot box, siyo hizo mbwembwe za wana bodaboda
Mkuu we subiri October huyu jamaa atapata kupigo cha mbwa mwizi wa mayai ,nakuhakikishia,akipata asilimia 5 ya kura zote nahama nchi
Wanasahau kuwa chema kinajiuza ambao ni cdm na mh Lissu.Sibahatishi ninachokuambia, ni kweli kuna wanaokwenda kwa ridhaa yao, lakini wengi tu hulazimishwa na hilo sio siri. Lakini wapinzani hasa cdm hawana uwezo wowote wa kumlazimisha yoyote, hivyo hao wote wanaenda kwa mapenzi yao.
Endelea kujitekenya CDM inachanja mbugaYale yale ya mwaka 2015,Niko hapa kahama sioni shamla shamla yoyote,na isitoshe wamewekewa mafuta lita mbili kila bodaboda sasa hata kama in mimi kwanini nisijifanye nampenda Huyo lissu wenu
Ukweli mtaujua October, hamtarudia tena kumsimamisha huyu lissu maana kipigo atakachopata ni cha jini kahaba
Mimi nina CORONA tu na nimeimudu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Inawezekana akawa anatembea na risasi ya kupigwa makusudi na waoga wa kukosolewa kama wewe.
Lkn inawezekana hata wewe hapo unatembea na maradhi hatari sana mwilini mwako tena ya kujitakia kwa tamaa zako.
Mchezo huu ni dakika 90Shetani hawezi kuaminiwa kwa lolote asemalo. Bulldozer, shetani mkuu
Vipi hauna Bando ya kufungua hiyo video fupi hapo juu?Wekemi na picha sio maneno tu, ili tuinjoi wote
Weka bandoJamni picha mimi hazifungukiiii
Huijui CCM wewe !!Ccm sasa hivi ni mahututi anaishi kwa nguvu za oxygen
Kuna mambo mengine ya kuonea aibu kuyaandika; eti akinamama wanatandika khanga ili Lissu apite! Mambo ya ajabu kabisa! Hamkujifunza mlipodeki barabara 2015 na bado mkagaragagazwa? Pumbavu!Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.
Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa
Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118