Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nilidhani chama tawala kitaanguka! Ilipaswa wapinzani waungane mapema otherwise round 2 Kuna wengine watakimbilia chama tawala kuongeza kura Ili wapate ulaji.Uongozi ni kipaji mtu anazaliwa nacho....kwahiyo mtu anajaribu kukipigania mpaka mwisho wa uhai wake.
Mgombea BOLA TINUBU anaonekana kuongoza kula kwa majimbo yaliyotangaza matokeo....dhidi ya mgombea wa muda mrefu ATIKU ABUBAKAR
huyo Obi ndiyo yule anayetajwa kwenye nyimbo sana Nigeria?Kwankwaso na Peter Obi ndio wanaomuingiza Ikulu Bola Ahmed Tinubu
huyo Obi ndiyo yule anayetajwa kwenye nyimbo sana Nigeria?
Jamaa wamefanya uchaguzi wa kihuni kupita kiasi. Kuna maeneo kura hazijapigwa lakini matokeo yametoka. Ilikuwa matokeo yaingie moja kwa moja kielectronic. Wameanza sababu kuwa system inasumbua. Wamerudi kuwasilisha manually. Afrika inachekesha sana sometimes.
Mpaka Sasa Mgombea kutoka chama tawala Bola Tinubu anaongoza kwa 44.07% za kura , akifuatia kwa karibu na Atiku Abubakar 32.77% na Peter Obi 17.6%Nani kashinda mpaka Sasa tunaomba updates
Siku zote wanigeria wanapiga kura kidini na kikabila.BOLA AHMED TINUBU lazima ashinde huo uchaguzi, PETER OBI ametumia mgongo wa Huruma ya Dini na kabila lake kutaka ashinde huu uchaguzi, hatoshinda, watu wanasahau wapiga kura hawapo TWITTER wapo vijijini huko.
ATIKU alikuwa na nafasi kubwa zaidi kuliko OBI, shida ya OBI ameegemea sana kabila lake la IGBO sasa ananyooshwa kisawasawa anasema uchaguzi umevurugwa. Akishinda state moja anasema demokrasia imefanya kazi lkn akishindwa ameibiwa.
Ni matarajio yangu 2027 uchaguzi utakuwa dhidi ya UISLAM na UKRISTO hapo ndipo maana wengi wameona OBI ametumia hiyo karata kutaka kujipatia kura. OBI amesahau kabila lao la IGBO ni DOGO ukilinganisha na HAUSA na YORUBA.
Dini ipi ni wengi?Siku zote wanigeria wanapiga kura kidini na kikabila.
Waislamu ni wengi na wako zaidi kaskazini. Wakristo wachache na wapo zaidi kusini.Dini ipi ni wengi?