Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

Uongozi ni kipaji mtu anazaliwa nacho....kwahiyo mtu anajaribu kukipigania mpaka mwisho wa uhai wake.

Mgombea BOLA TINUBU anaonekana kuongoza kula kwa majimbo yaliyotangaza matokeo....dhidi ya mgombea wa muda mrefu ATIKU ABUBAKAR
Duh nilidhani chama tawala kitaanguka! Ilipaswa wapinzani waungane mapema otherwise round 2 Kuna wengine watakimbilia chama tawala kuongeza kura Ili wapate ulaji.
 
Jamaa wamefanya uchaguzi wa kihuni kupita kiasi. Kuna maeneo kura hazijapigwa lakini matokeo yametoka. Ilikuwa matokeo yaingie moja kwa moja kielectronic. Wameanza sababu kuwa system inasumbua. Wamerudi kuwasilisha manually. Afrika inachekesha sana sometimes.
 
Matokeo ya mabunge yamefanyiwa collation Electronically ila ya Urais wanataka yafanyike manually naona na Obasanjo katoka na speech
 
Rais mpya ajaye ana kibarua kizito cha kukabiliana na hali mbaya ya ukosefu wa usalama....magenge ya uhalifu (bandits) na kigaidi (Iswap) yamejikita kwenye majimbo mengi na kuleta mateso kwa raia.
 
BOLA AHMED TINUBU lazima ashinde huo uchaguzi, PETER OBI ametumia mgongo wa Huruma ya Dini na kabila lake kutaka ashinde huu uchaguzi, hatoshinda, watu wanasahau wapiga kura hawapo TWITTER wapo vijijini huko.

ATIKU alikuwa na nafasi kubwa zaidi kuliko OBI, shida ya OBI ameegemea sana kabila lake la IGBO sasa ananyooshwa kisawasawa anasema uchaguzi umevurugwa. Akishinda state moja anasema demokrasia imefanya kazi lkn akishindwa ameibiwa.

Ni matarajio yangu 2027 uchaguzi utakuwa dhidi ya UISLAM na UKRISTO hapo ndipo maana wengi wameona OBI ametumia hiyo karata kutaka kujipatia kura. OBI amesahau kabila lao la IGBO ni DOGO ukilinganisha na HAUSA na YORUBA.
 
Siku zote wanigeria wanapiga kura kidini na kikabila.
 
Back
Top Bottom