Ni hotuba iliojaa takwimu za kina na sahihi ya nini kimefanyika (mafanikio) baada ya awamu ya tano kuingia madarakani
Hotuba imejikita kwenye maeneo muhimu sana hasa kilichofanyika mkoani.mwanza
1: ,miundo mbinu
2: Elimu
3:Afya
4:Madini
5:kilimo
6:corona
7:wamachinga
8:migogoro ya ardhi
9😀araja la Busisi-Kigongo
Kwa uchache vimechambuliwa kwa kina sana na ndugu Rais,takwimu zikionyesha mafanikio makubwa sana.
Ikumbukwe.kwamba Kura za kanda ya ziwa ndio hutuamulia mshindi wa urais,na rais Magufuli kwa hotuba yake makini kanda imemuelewa na iko tayari kumpa kura za kishindo.
Ni hii liwe fundisho kwa wagombea wengine ambao badala ya kuwa na takwimu katika hotuba zao hufanya personal attacks kwa mgombea huyu,kitu ambacho hakitawasaidia kupata kura