Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Kilichoteokea Mwanza Leo in Dhahiri Mgombea Wa CCM keshapita Tena kwa kishindo.
Umakini na Kampeni za Kisayansi Zinazofanywa na CCM, ukiwa na Akili Timamu lazima ukubali Rais Magufuli anaendelea kwa miaka mitano TENA.

Hakuna Muujuzi kuwa upinzani utachukua dola ndani ya miaka 20 ijayo..,....CCM umefika muda Wa kumwandaa KABUDI kuchukua kijiti pindi MAGU atakapomaliza Muda wake 2025. NAmwona KABUDI KAMA MZALENDO MWINGINE ANAEENDANA NA MAGUFULI. Kampeni za 2025 Zitakuwa za wabobezi Wa TASINIA YA SHERIA KATI YA MTANZANIA KABUDI NA MBELIGIJI LISSU.

Tukutane 2025
 
Km siku hizi watoto wa shule za msingi wanapiga kura sawa basi atashindwa lkn km wanapiga
Wakulima
Wafanyakazi
Wafanyabiashara
Wanafunzi wa vyuo...

Basi ccm haiwezi kupata kuta....
 
Ni hotuba iliojaa takwimu za kina na sahihi ya nini kimefanyika (mafanikio) baada ya awamu ya tano kuingia madarakani
Hotuba imejikita kwenye maeneo muhimu sana hasa kilichofanyika mkoani.mwanza
1: ,miundo mbinu
2: Elimu
3:Afya
4:Madini
5:kilimo
6:corona
7:wamachinga
8:migogoro ya ardhi
9😀araja la Busisi-Kigongo

Kwa uchache vimechambuliwa kwa kina sana na ndugu Rais,takwimu zikionyesha mafanikio makubwa sana.

Ikumbukwe.kwamba Kura za kanda ya ziwa ndio hutuamulia mshindi wa urais,na rais Magufuli kwa hotuba yake makini kanda imemuelewa na iko tayari kumpa kura za kishindo.

Ni hii liwe fundisho kwa wagombea wengine ambao badala ya kuwa na takwimu katika hotuba zao hufanya personal attacks kwa mgombea huyu,kitu ambacho hakitawasaidia kupata kura
 
bado mbeya na arusha kule wanakojifanya wanapendwa sana, watalia wakiona mafuliko huko nako.

hoja ya wasanii haina mashiko.
 
Sishangai kuona nyomi hiyo Mwanza. Nilitegemea tu itakuwa hivyo. Na pia nategemea atapatakura nyingi tu Mwanza, Geita na hata Shinyanga. Anakubalika sana maeneo hayo. Mashaka yangu ni kwa wabunge wake. Sijui kama wengi wao watatoboa
 
Yyaani hapo kama midoli, hata lililotoa mada, unawezaje kurudiarudia mapicha kama juha ??, hapo ungeweka picha moja tu ujumbe waKO USINGEFIKA?
Kaweka msisitizo tu. Ngoja TP Mazembe waje nyuma ya jamaa. Watatimua vumbi mpaka basi. Ngoja tu mtaona
 
Sawa lakini,

Wangeamua kuwanyima na kutuletea sisi wa DSM au wa Dodoma kule ambako now days ndio jicho la nchi kimiundombinu
Hapo utakuwa unaijenga Tanzania au una-centralize maendeleo? Kila mtu anayo haki ya kugawana keki ya taifa, acha ubaguzi
 
Natabiri jpm kupata zaidi ya 80%
kwa jinsi anavyopiga pini wapinzani wake, asilimia hizo ni chache sana mkuu...binafsi naona akipata chini ya 90% atakuwa amefeli!.

ila uwanja wa ushindani ungekuwa fea angeshinda ndio ila kwa % ndogo!!!.
 
Kwa hili nyomi hata mgombea wa republican kwa Jiwe anakaa
chezea show ya Diamond ya bure wewe...ccm inatumia nguvu kubwa sn kuhakikisha watu wanajaa mkutanoni, hapo usisahau kusomba watu kwa malori & mabus kutoka vijijini!
hii ni tofauti kubwa sana na mikutano ya wapinzani ambapo watu huenda bila ushawishi mkubwa.
 
Hao wasanii mnawalipa sh ngapi?
Wasanii mwaka huu hawalipwi chochote, wamejitolea, kumbuka CCM ilitangaza mapema sana uchaguzi huu haitotumia wasanii ili kupunguza gharama, wasanii wamejitolea wenyewe kwa mapenzi yao makubwa kwa chama na JPM.
 
Back
Top Bottom