Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

IMG-20200907-WA0006.jpg
 
kwel kabisa
Ndiyo
Mwanza ndipo sehemu pekee ambayo hawapaswi kuiangusha CCM

✓ Barabara nzuri
✓ Wamenunuliwa meli
✓ Daraja la juu
✓ Uwanja wa ndege umepanuliwa vizuri
✓ Biashara za samaki zimeboreshwa siku hizi wanasafirisha kwenda nje ya nchi

Na mengineyo
kwel kabsa
 
Jana siku nzima barabara ya kutoka msoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika mwanza jioni ,poleni Sana msiompenda huyu mwamba
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana , hakuna jua ni mawingu na ubard flan amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelf ya wakaz , mkoa wa mwanza Una idadi ya watu ~3million , roughly hakosi kura 800K, wafanyakaz , wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.
Tujage
Yyaani hapo kama midoli, hata lililotoa mada, unawezaje kurudiarudia mapicha kama juha ??, hapo ungeweka picha moja tu ujumbe waKO USINGEFIKA?
 
Hakika waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Umejenga SGR Barabara ndege Umezunguka miaka 5 kwenye kampeni nchi nzima.....Bado unajitembeza kuomba Kura.

BILA FIESTA TAMASHA LA DIAMOND KIBA MAROLI YA KUBEBA WATU NK HAJI MTU HAPO
Ndugu yangu unatumia akili kweli kuwaza?
Rejea picha na video za kampeni za JPM jana akiwa njiani kuelekea Mwanza, angalia ule umati wa watu waliojitokeza, je kulkua na Diamond na Ali kiba pale?
 
Jengo la abiria uwanja wa ndege, daraja la Busisi,meli ya mizigo, wilaya 3 na barabara zipanuliwe njia 4 kuingia jijini na kuongeza by pass ili jiji liwe la kimataifa hayo yakifanyika Legacy tosha.
 
Jana siku nzima barabara ya kutoka msoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika mwanza jioni ,poleni Sana msiompenda huyu mwamba
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana , hakuna jua ni mawingu na ubard flan amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelf ya wakaz , mkoa wa mwanza Una idadi ya watu ~3million , roughly hakosi kura 800K, wafanyakaz , wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.....
Tujage
Hapo Mwanza JPM atazoa kura za kutosha.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
kama hizo maiti zisingekuwepo bas ungeona ya msumbiji huku
 
Jana siku nzima barabara ya kutoka msoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika mwanza jioni ,poleni Sana msiompenda huyu mwamba
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana , hakuna jua ni mawingu na ubard flan amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelf ya wakaz , mkoa wa mwanza Una idadi ya watu ~3million , roughly hakosi kura 800K, wafanyakaz , wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.....
Tujage

Lissu ategemee 80K wakati wenzio wanaitisha asipate hata kura 1 nchi nzima?
 
Back
Top Bottom