BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kwa hili nyomi hata mgombea wa republican kwa Jiwe anakaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamelazimishwa Kwan? Ambao hawatak wabak wajisomee madarasaniWanafunzi wanateswa sana, yaani watoto wamezuiwa kwenda shule pamoja na waalimu wao ili waende kwenye shughuli za kampeni za CCM!! Maajabu
Fuatilia hapa Kampeni za mgombea urais kupitia CCM Ndugu Magufuli kutoka uwanja wa CCM KirumbaLeo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali.
Mwaka 2015, Dkt Magufuli na chama chake walipata ushindi mnono jijini Mwanza na viunga vyake. Je, wapiga kura wataendelea kuwaamini na kuwapa ridhaa? Kuwa nami kukujuza yatakayojiri leo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi jijini Mwanza.
Niliposikia ubwabwa wa Rungwe unazuiliwa, nilitaka nisikie pia muziki wa akina Diamond vipi? Kama ubwabwa ni rushwa basi hata muziki, burudani ni rushwa?Hakika waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Umejenga SGR Barabara ndege Umezunguka miaka 5 kwenye kampeni nchi nzima ... Bado unajitembeza kuomba Kura.
BILA FIESTA TAMASHA LA DIAMOND KIBA MAROLI YA KUBEBA WATU NK HAJI MTU HAPO
Kabisa, Mwanza wamefunika. Kuna Chama kilisema kimefunika Mwanza, tukawaambia anayecheka mwisho hucheka vyema leo wanaficha sura zao.Kwa hili nyomi hata mgombea wa republican kwa Jiwe anakaa
Magufili Miaka mitano tena tumchague ili alete maendeleo ya haraka TanzaniaLeo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali.
Mwaka 2015, Dkt Magufuli na chama chake walipata ushindi mnono jijini Mwanza na viunga vyake. Je, wapiga kura wataendelea kuwaamini na kuwapa ridhaa? Kuwa nami kukujuza yatakayojiri leo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi jijini Mwanza.
Usimfokee!!!!Maccm pumbavu sana, yaani hapo kama midoli, hata lililotoa mada, unawezaje kurudiarudia mapicha kama juha ??, hapo ungeweka picha moja tu ujumbe waKO USINGEFIKA ??
Watu wamekifuta chama cha mapinduzi CCM sio mtu.[emoji41][emoji41]wangapi tunaenda kumcheki platnumz sharti tuje chukuliwa hata na fuso itapendeza
Ndiyo
Mwanza ndipo sehemu pekee ambayo hawapaswi kuiangusha CCM
✓ Barabara nzuri
✓ Wamenunuliwa meli
✓ Daraja la juu
✓ Uwanja wa ndege umepanuliwa vizuri
✓ Biashara za samaki zimeboreshwa siku hizi wanasafirisha kwenda nje ya nchi
Na mengineyo
CCM Inapendeza sana na tuna Mgombea makini na anauzika hakika tumchagueJana siku nzima barabara ya kutoka msoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika mwanza jioni ,poleni Sana msiompenda huyu mwamba
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana, hakuna jua ni mawingu na ubaridi fulani amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelfu ya wakazi, mkoa wa Mwanza Una idadi ya watu ~3million, roughly hakosi kura 800K, wafanyakazi, wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.....
Tujage
Hanatufaa kwa sababu ametuletea maendeleo makubwa leo hii mtu anasafiri kwa rami karibia nchi mzimaWatanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.
Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.
Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.
Huyu mtu hatufai kabisa.
Atachaguliwa kwa kishindo.Magufili Miaka mitano tena tumchague ili alete maendeleo ya haraka Tanzania
hii fiesta si mchezoWananchi wamefurika uwanjani, uwanja umejaa.