Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Jana siku nzima barabara ya kutoka msoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika mwanza jioni ,poleni Sana msiompenda huyu mwamba
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana, hakuna jua ni mawingu na ubaridi fulani amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelfu ya wakazi, mkoa wa Mwanza Una idadi ya watu ~3million, roughly hakosi kura 800K, wafanyakazi, wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.....

Tujage
Tangia nchi hii ipate uhuru na mimi kuanza kuijua siasa Mwl. Nyerere na Dr. Magufuli, nawapenda sana na ninamshukru sana mwenyezi Mungu kwa kutupa viongozi kama hawa, they are truly role modal katika leadership.
 
Ama kweli CCM wameishiwa

Leo ni uzinduzi wa kampeni za CCM mkoa wa Mwanza zinazozinduliwa pale uwanja wa Kirumba

Kama kawaida yao leo mabasi mengi yameingia vijijini kusomba watu wakaujaze uwanja

Kubwa kuliko ni hili la kuwaachisha masomo watoto wetu na kuwataka waende uwanja wa CCM Kirumba kujaza uwanja ili ionekane CCM inapendwa

Yaani CCM mmeishiwa hadi mnalazimisha watoto wa chini ya miaka 18 ambao sio wapiga kura waje kwenye kampeni zenu

Huu ni wakati wa kuikataa CCM na hila zao, CCM mlikua mnatamba hamna haja ya kufanya kampeni, Sasa ili la kusomba Hadi Wanafunzi na kuwaachisha kusoma na kwenda kuwapeleka kwenye kampeni linatoka wapi

Acheni watoto wetu wasome

Una uhakika gani kama ni wanatoka shule au wanaenda.

[emoji57]
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
Hakufai wewe! Unadhani kuongoza nchi ni kuongoza kijiwe cha kahawa! Nchi imejaa traitors, lazima wapigwe Pini, hakuna nchi ambayo haimwagi damu, hata huko demokrasia ilipotoka damu zinamwagika. Saliti nchi yako uone yatakayokukuta...
 
Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali.

Mwaka 2015, Dkt Magufuli na chama chake walipata ushindi mnono jijini Mwanza na viunga vyake. Je, wapiga kura wataendelea kuwaamini na kuwapa ridhaa? Kuwa nami kukujuza yatakayojiri leo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi jijini Mwanza.

Hizi Kampeni za Urais JPM anahitaji watu serious sio POLE POLE .....Atamshauri nini ? halafu mbona uwanja wanatumia nusu tu ...wakati watu walikuwa wanajaza mzunguko mzima ....umati ni mdogo
 
Siasa za nyomi Chadema mnapenda Sana , hamjajifunza bado Kwa Lowasa , watu wamejaa kwenye pitch , na sa hv asubh hii , mida ya sa kumi ndo uje na malalamiko kuwa uwanja ulikuwa nusu , nyie mlijisifu na watu wa furahisha na bado picha mkadublicate, na kampeni zenu zilihusisha kanda nzima
 
Napenda wanavyochagua Viongozi wa dini wenye nasaba na siasa, haswa za chama tawala.
 
Hakika waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Umejenga SGR Barabara ndege Umezunguka miaka 5 kwenye kampeni nchi nzima ... Bado unajitembeza kuomba Kura.

BILA FIESTA TAMASHA LA DIAMOND KIBA MAROLI YA KUBEBA WATU NK HAJI MTU HAPO
Maneno ya mkosaji.....
 
Tangia nchi hii ipate uhuru na mimi kuanza kuijua siasa Mwl. Nyerere na Dr. Magufuli, nawapenda sana na ninamshukru sana mwenyezi Mungu kwa kutupa viongozi kama hawa, they are truly role modal katika leadership.
Ni bora kuwa na diploma kuliko kuwa na PhD then uwe kama Jiwe au yule wa Jalalani,
 
Hakufai wewe! Unadhani kuongoza nchi ni kuongoza kijiwe cha kahawa! Nchi imejaa traitors, lazima wapigwe Pini, hakuna nchi ambayo haimwagi damu, hata huko demokrasia ilipotoka damu zinamwagika. Saliti nchi yako uone yatakayokukuta...
Msaliti amesaliti kwa kufanya nini mkuu?
 
CCM Kirumba imefurika sio mchezo. Hivi umati wa watu una-reflect wingi wa kura? Naona kila chama kinajisifu jinsi kinavyojaza 'uwanja'!
 
Ndiyo
Mwanza ndipo sehemu pekee ambayo hawapaswi kuiangusha CCM

✓ Barabara nzuri
✓ Wamenunuliwa meli
✓ Daraja la juu
✓ Uwanja wa ndege umepanuliwa vizuri
✓ Biashara za samaki zimeboreshwa siku hizi wanasafirisha kwenda nje ya nchi

Na mengineyo
Suala siyo Magufuli na CCM, wagombea waliowekwa wanakubalika? Huwezi kuchanganya maandazi na pilau!
 
Jana siku nzima barabara ya kutoka msoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika mwanza jioni ,poleni Sana msiompenda huyu mwamba
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana, hakuna jua ni mawingu na ubaridi fulani amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelfu ya wakazi, mkoa wa Mwanza Una idadi ya watu ~3million, roughly hakosi kura 800K, wafanyakazi, wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.....

Tujage
Wanafunzi wanateswa sana, yaani watoto wamezuiwa kwenda shule pamoja na waalimu wao ili waende kwenye shughuli za kampeni za CCM!! Maajabu
 
Jana siku nzima barabara ya kutoka msoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika mwanza jioni ,poleni Sana msiompenda huyu mwamba
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210
View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana, hakuna jua ni mawingu na ubaridi fulani amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelfu ya wakazi, mkoa wa Mwanza Una idadi ya watu ~3million, roughly hakosi kura 800K, wafanyakazi, wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.....

Tujage
Wananchi wamefurika uwanjani, uwanja umejaa.
 
Back
Top Bottom