Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

kwel kabisa
kwel kabsa
 
Yyaani hapo kama midoli, hata lililotoa mada, unawezaje kurudiarudia mapicha kama juha ??, hapo ungeweka picha moja tu ujumbe waKO USINGEFIKA?
 
Hakika waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Umejenga SGR Barabara ndege Umezunguka miaka 5 kwenye kampeni nchi nzima.....Bado unajitembeza kuomba Kura.

BILA FIESTA TAMASHA LA DIAMOND KIBA MAROLI YA KUBEBA WATU NK HAJI MTU HAPO
Ndugu yangu unatumia akili kweli kuwaza?
Rejea picha na video za kampeni za JPM jana akiwa njiani kuelekea Mwanza, angalia ule umati wa watu waliojitokeza, je kulkua na Diamond na Ali kiba pale?
 
Jengo la abiria uwanja wa ndege, daraja la Busisi,meli ya mizigo, wilaya 3 na barabara zipanuliwe njia 4 kuingia jijini na kuongeza by pass ili jiji liwe la kimataifa hayo yakifanyika Legacy tosha.
 
Hapo Mwanza JPM atazoa kura za kutosha.
 
kama hizo maiti zisingekuwepo bas ungeona ya msumbiji huku
 

Lissu ategemee 80K wakati wenzio wanaitisha asipate hata kura 1 nchi nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…