Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Maendeleo yana chama ila udikteta hauna chama wote ni kuisoma namba tu
 
Kwa hiyo CCM wanasafiri na wasanii wote kila wanapokwenda?? au Diamond siku hizi anaishi Mwanza hii kali nilikuwa sijui ati!
 
Mwambieni aombe kura sio kulazimisha kura ? Sasa mbona mnajaza watoto Tena chini ya miaka kumi na nane ? Aiseee mmeishiwa , mgombea wenu mwingine huko Zanzibar Hussein Mwinyi kasusiwa msikiti ,watu hawataki kuswali na mnafiki .Angalieni kwenye michoro vitoto vilivyojazwa CCM Mpaka huruma.
 
Historia ipi? johnthebaptist , kumvalisha kofia mhuni ndio umaarufu? Kwahiyo watu wakiona amevalishwa kofia inawageuza mawazo wanampigia kura?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Msanii mmoja maarufu katika kuuonyesha Umma umahili wake akamvisha kofia msanii maarufu mwenzake uhistoria wa kitendo hicho ni upi? Wasukuma Usukumani!
 
CCM Mwanza labda waibe kura na nafsi zinawasuta
 
Utitiri wa magari ( tena ya gharama) kwenye kampeni za ccm ni dhihaka kwa wapiga kura hawa masikini.

Siongezi sauti..inatosha.
 
Uzi umedorora utadhani unahusu mgombea wa tlp
Ulitaka watu waanze kubishana hapa mzee wakati jambo lipo hadharani. Chukua rimoti kaa kwenye Kochi jionee hayo mafuriko!
 
Hivi una tv??
Nguvu iliyotumika hapo sio mchezo ila kaa na watu wa kawaida hapa Mwanza uwasikikize. Hivyo vichwa vya vilivyoko kwenye Tv hujui masafa waliotoka.

Siku ya kupiga kura Magufuli hatozifikia kura za Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…