Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mbowe ni mwanasiasa wa kiwango cha juu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana haki kumkubali/kumkataa mtu?[emoji33]Sikulaumu kwa ulichokiandika kwasabu sio kosa lako ni hilo Jina lako la mwisho ndo lina tatizo
Si mlisema analipwa na mabeberu😂😂😂😂Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Kama pesa ndio siasa Bakhresa na wahindi wangekuwa maraisiMpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Nitajua kuwa mmekosa maono.Na akiipata jee? Utakunywa sumu?
Ipo...zipo youtube! Lissu bado mwanaharakati siyo 'presidential material'...mwanzo wa uombaji kura wake tu unaeleza kila kitu. Ngoja niendelee kufuatilia uombaji kura wa wengine.Hakuna live coverage?
Hata kama atapita kwa kura kadhaa bado lazima ujiulize waliompinga ni ccm au Wanachadema wenzake?.....ndipo ujiulize ni kwa nini?.Hiki ni kipimo cha kiccm.
Una uhakika au nawewe umeanza talalila!bilionea Nyalandu.
Mhe.Msigwa hakuchukua form ya urais bali alitiania tuDr MayRose Kavula Majinge hakujiandaa na hajui ni kwanini anataka kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
She's absolutely not ideal candidate for the presidency...
Sijui ni kwanini wasomi kuanzia level ya Udaktari na kuendelea huko hadi maprofesa wanakuwa weupe sana kwa hoja....
Huyu aliwezaje kumshinda Peter Msigwa?
alimshinda wapi?Huyu aliwezaje kumshinda Peter Msigwa?
TL AtoshaShida ya viongozi wa Chadema si kwenda Ulaya na Marekani, shida yao ni kuwatumikia wananchi.
Jibu ni TAL kama hutaki kunywa sumu.
Sometimes anakuwa boya km alipochukua fomu ya urais
Tuna subiri atanazwe tuTutamchangia Lissu.