Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Hakuna mbadala wa sheria hii. Nakwambia Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuwatawala mpaka mnakufa bado CHADEMA hamjaweza kuongoza nchi. Chama chenyewe spana mkononi.
 

Attachments

  • IMG_20200803_162114.png
    12 KB · Views: 1
Mbona hawamsikilizi katibu...!? Kuna nidhamu kweli huko.
Kumbe hata mwenyekiti hawamsikilizi!
 
Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Si mlisema analipwa na mabeberuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiki ni kipimo cha kiccm.
Hata kama atapita kwa kura kadhaa bado lazima ujiulize waliompinga ni ccm au Wanachadema wenzake?.....ndipo ujiulize ni kwa nini?.

Kinyume na hapo basi apate kura 100%.
 
Dr MayRose Kavula Majinge hakujiandaa na hajui ni kwanini anataka kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

She's absolutely not ideal candidate for the presidency...

Sijui ni kwanini wasomi kuanzia level ya Udaktari na kuendelea huko hadi maprofesa wanakuwa weupe sana kwa hoja....

Huyu aliwezaje kumshinda Peter Msigwa?
 
Mhe.Msigwa hakuchukua form ya urais bali alitiania tu
 
"Tundu Lissu Kapuku" πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…