Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Mpuuzi wewe hapo unaepiga porojo . Mtaumbuliwa,yaani kwa makusudi kabisa,kura zenu zinaharibiwa na system.hakuna uchaguzi hapa.JPM ashindane na huyo...
Tutamla mtu nyama mchana kweupeeee. Kama unadhani tunatania ajaribu aone! Katu hatutanii ila jua kuwa ikitokea hivyo tunamchana chana mtu!
 
Congratulations Hon Tundu Antipas Lissu we are together
 
kwa b
Kwa bao la mkono na matumizi ya dola sawa, lakini kwa hoja na uchaguzi huru na wa haki jiwe anatoka mapema kabisa asubuhi October.
 
Sasa ni rasmi. Chama cha Mapinduzi kinaenda kuwa Chama cha upinzani hapo October 2020. Tundu Antipas Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020.

Yaliyofanyika Malawi sasa Rasmi yanaenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Ni nguvu ya umma
 
Lisu Ni kwikwi
 
Tutamla mtu nyama mchana kweupeeee. Kama unadhani tunatania ajaribu aone! Katu hatutanii ila jua kuwa ikitokea hivyo tunamchana chana mtu!
Kwanza hata hiyo nafasi ya kupambana naJPM anaweza kuipata,hukumu ya kesi zake itatoka kabla ya uchaguzi na mtapigwa butwaa.
 
Pat
Patachimbuka October!
 
Huyu hawezi na hataweza kuwa rais wa Tanzania labda jua lianze kuchomoza toka kaskazini kwenda kusini
Amini nakwambia. Yalitotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October Mwaka huu. CCM jiandaeni kuwa Chama pinzani. Lissu sio Mrema, Lissu sio Slaa, Lissu sio Lowassa. Huyu jamaa anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dunia haitaamini ila ndo yanaenda kutokea
 
Chadema sanyingine wanachekesha Sana... hivi salum mwalimu ndiyo awe makamu wa rais kweli??
nayule madevu ndio awe rais zenji??? Msitutanie kimaudhi Sasa nyalandu na basilake mnampa "selasnakitu" siatarudi zake nyumbanil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…