Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Sasa ni rasmi. Chama cha Mapinduzi kinaenda kuwa Chama cha upinzani hapo October 2020. Tundu Antipas Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020.

Yaliyofanyika Malawi sasa Rasmi yanaenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Ni nguvu ya umma
Kuna watu mnaota mchana. Chadema na tundu Lissu mtaaibika tu
 
Kwanza hata hiyo nafasi ya kupambana naJPM anaweza kuipata,hukumu ya kesi zake itatoka kabla ya uchaguzi na mtapigwa butwaa.
HAYA! Ila Magufuli akizingua hata punje moja tu! Nasema moja tu! TUTASEMA NAYE KIUME!
 
Mh Lissu amechaguliwa kuwa mgombea wa urais 2020 kupitia chadema.
Je yeye mwenyewe anacho kitambulisho cha kupigia kura
Yeye atachaguliwa tu hata kama hana hicho kitambulisho, ila kumbuka pia kuwa wakati anagombea ubunge mwaka 2915 alijipigia kura pia
 
Amina Amina
Mwenyezi Mungu ni Mkubwa sana Sept 7, 2017 wengi tulilia sana lakini ndani ya hizi wiki mbili ametupa furaha kubwa sana. Sasa akamilishe furaha yetu October 28, 2020 kwa kuchukua Nchi.
 
Kissu ndiye Rais ajaye. Jiwe arejee Chato kuendeleza kilimo cha viazi vitamu.
Hakuna Rais aliye madarakani aliyewahi kuvuruga utaratibu wa kukimbizwa kwa mwenge wa uhuru ama uzao wa tausi wa awali pale ikulu ya Magogoni, yaani "alpha pavo". Nafikiri itafika muda wana JF mtanielewa tu ni kwa nini huwa ninamrejea huyu ndege "tausi" ama kwa lugha ya Kilatino "pavo"
 
Amini nakwambia. Yalitotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October Mwaka huu. CCM jiandaeni kuwa Chama pinzani. Lissu sio Mrema, Lisse sio Slaa, Lissu sio Lowassa. Huyu jamaa anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dunia haitaamini ila ndo yanaenda kutokea
Kwa ushawishi upi alionao huyu jamaa yenu, na kalifanyia nini taifa letu
 
HAYA! Ila Magufuli akizingua hata punje moja tu! Nasema moja tu! TUTASEMA NAYE KIUME!
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119], mnapigwa figisu moja la maana..mmeweka mgombea ana vimeo kibao[emoji3][emoji3],mtasimulia nawaambia,msilalamike humu.
 
Huyu hawezi na hataweza kuwa rais wa Tanzania labda jua lianze kuchomoza toka kaskazini kwenda kusini
nyie jidanganye mpaka mda huu lissu kaisha badilisha upepo wa siasa kwa 75% je mnanguvu za kurudisha upepo ukae sawa?
sasa relax mtapigwa mtiti mpaka mpoteane combination za dam mpya katika kugombea na uongonzi walio nao sio ya mchezo ,chadema hakina utani tena wako tiyari kabisa kwenda jengo jeupe , na hakuna cha kuwazuia labda mje na mikakati ya kisayansi Zaidi ya kuwakabili na ambayo si ya uonevu maana iyo ndo itaaribu Zaidi nakujikuta kwenye mahakama za kijinai
 
Back
Top Bottom