wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,594
- 3,158
Leo ni baraza kuu ,kesho ndio mkutano mkuu wa kumuidhinishaIle ilikuwa NI kamati kuu ya CHADEMA. Hii ya Leo ni mkutano mkuu wa CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni baraza kuu ,kesho ndio mkutano mkuu wa kumuidhinishaIle ilikuwa NI kamati kuu ya CHADEMA. Hii ya Leo ni mkutano mkuu wa CHADEMA
Kama huzisomi,umejuaje niko too political kama unavyodai?Ila we jamaa wew sijui kwa nin nikiona post zako zotezote huwa sizisomi, nikiona user name yako naivuka, you are too political..!
Hayo yao sisi tumeshamaliza kumpitisha kamanda halisi, acha tume wamzuie dunia nzima wataona!!! Najua figisu nyingi zitakuja kwakuwa hawajiamini, ila kwa mtazamo wangu wamuache tu, ashindane ashindwe bila zogo, dunia nzima waone!!! Zamu hii hatutaki mgombea chotara.Technical foul. CCM 1 - CDM 0. Lissu anakesi, zitafufuliwa pindi akirudisha fomu NEC. NEC haitamtambua na akifanya mzaha anafungwa mpaka uchaguzi upite.
Plan B, Kwakuwa mwenyekiti amesema Wana mazungumzo na ACT ya kuachiana nafasi, kwenye urais CDM wajoin forces na Membe, nyalandu awe mgombea mwenza. Otherwise CDM watapoteza mgombea wa urais saa moja tu asubui.
Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Maendeleo hayana vyama!
Unapiga kura peke yako?Huyu hawezi na hataweza kuwa rais wa Tanzania labda jua lianze kuchomoza toka kaskazini kwenda kusini
Usinifokee.Sitaki kusikia habari za kuibiwa kura baada ya tarehe 28/10/2020.
Mlituamisha kwamba Lowassa asiposhinda mwaka 2015 msubiri miaka mingine 50 kwa miaka hiyo imeishapita,tatizo lenu hamtunzi kumbukumbu.
Mr Amsterdam anafatilia mubasharaNinasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Tuliza kinyeo weweKwa ushawishi upi alionao huyu jamaa yenu, na kalifanyia nini taifa letu
Lissu alijiandikisha 2015, mimi mwenyewe nilijiandikisha 2015 na naenda kupiga kura kituo kile kile! UsikaririInaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Na wa kutuwezesha kuzipata ni Lissu.Tunataka hela sisi
Wachana na huyo mpiga zumari wa lumumbaUnasema kalifanyia lipi taifa kwani kawai kuongoza nchi????
Unauliza ushawishi wa Lissu ndugu??? Yaani ni sawa na kuuliza tende uarabuni. Hakuna mwanasiasa Mwenye ushawishi Tanzania kama Tundu Antipas Lissu
Thanks kwa usahihisho.Leo ni baraza kuu ,kesho ndio mkutano mkuu wa kumuidhinisha
nyie jidanganye mpaka mda huu lissu kaisha badilisha upepo wa siasa kwa 75% je mnanguvu za kurudisha upepo ukae sawa?
sasa relax mtapigwa mtiti mpaka mpoteane combination za dam mpya katika kugombea na uongonzi walio nao sio ya mchezo ,chadema hakina utani tena wako tiyari kabisa kwenda jengo jeupe , na hakuna cha kuwazuia labda mje na mikakati ya kisayansi Zaidi ya kuwakabili na ambayo si ya uonevu maana iyo ndo itaaribu Zaidi nakujikuta kwenye mahakama za kijinai
Mbogamboga wamechanganyikiwa
TUOMBE TU UZIMA HUU MWAKA MZURI SANA HAPA LISU PALE JPM HAPA KIKOSI CHA MAKAMANDAWajumbe wa CCM walivyo vote out waunga juhudi umesahau?Wajumbe wa Chadema wamefanya hivyo hivyo.