Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Technical foul. CCM 1 - CDM 0. Lissu anakesi, zitafufuliwa pindi akirudisha fomu NEC. NEC haitamtambua na akifanya mzaha anafungwa mpaka uchaguzi upite.
Plan B, Kwakuwa mwenyekiti amesema Wana mazungumzo na ACT ya kuachiana nafasi, kwenye urais CDM wajoin forces na Membe, nyalandu awe mgombea mwenza. Otherwise CDM watapoteza mgombea wa urais saa moja tu asubui.
Hayo yao sisi tumeshamaliza kumpitisha kamanda halisi, acha tume wamzuie dunia nzima wataona!!! Najua figisu nyingi zitakuja kwakuwa hawajiamini, ila kwa mtazamo wangu wamuache tu, ashindane ashindwe bila zogo, dunia nzima waone!!! Zamu hii hatutaki mgombea chotara.
 
Sitaki kusikia habari za kuibiwa kura baada ya tarehe 28/10/2020.


Mlituamisha kwamba Lowassa asiposhinda mwaka 2015 msubiri miaka mingine 50 kwa miaka hiyo imeishapita,tatizo lenu hamtunzi kumbukumbu.
Usinifokee.

Mataga round hii mtanyooka.
 
Apite kwa kishindo asipite kwa kishindo kipigo kiko palepale yaani tarehe 28/10/2020 ni kipigo tu hatuwezi kuruhusu mwendawazimu awe kiongozi wa nchi.
 
Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Lissu alijiandikisha 2015, mimi mwenyewe nilijiandikisha 2015 na naenda kupiga kura kituo kile kile! Usikariri
 
Nimefurahi kwamba, Kwa mara nyingine, Magufuli anaenda kuagusha mbuyu mwingine kama ilivyokuwa Kwa Lowasa Yule wa Chadema!
 
Unasema kalifanyia lipi taifa kwani kawai kuongoza nchi????

Unauliza ushawishi wa Lissu ndugu??? Yaani ni sawa na kuuliza tende uarabuni. Hakuna mwanasiasa Mwenye ushawishi Tanzania kama Tundu Antipas Lissu
Wachana na huyo mpiga zumari wa lumumba
 
The Hague kwa bi Fatou Bensouda
nyie jidanganye mpaka mda huu lissu kaisha badilisha upepo wa siasa kwa 75% je mnanguvu za kurudisha upepo ukae sawa?
sasa relax mtapigwa mtiti mpaka mpoteane combination za dam mpya katika kugombea na uongonzi walio nao sio ya mchezo ,chadema hakina utani tena wako tiyari kabisa kwenda jengo jeupe , na hakuna cha kuwazuia labda mje na mikakati ya kisayansi Zaidi ya kuwakabili na ambayo si ya uonevu maana iyo ndo itaaribu Zaidi nakujikuta kwenye mahakama za kijinai
 
Back
Top Bottom