Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Ouiiiiiii,Aki umenichekesha wewe.Nikivuta cha Arushaa eeeh.Binafsi leo nimefurahi sana na ninapenda Membe amwachie Lissu,kule visiwani wamwachie Maalim.
Hii combination striker pale barca ni messi, Suarez na griezmann. Aiseee wakoloni wanapigwa saa 2 asubuhii
 
Kwamba Salum Mwalimu ndo mgombea mwenza. Yaani ikitokea Lissu kapata changamoto ikapelekea yeye kushindwa kuongoza Salum Mwalim ndo anakuwa rais wa JMT😀. Mambo mengine yanachekesha sana
 
CDM wangetakiwa wamchukue huyo Mayrose kuwa mgombea mwenza kubalance gender kwahyo hawataki kura za wanawake. Kwanza wanaume wenyewe ni wasaliti wa Mambo mengi
 
Amsterdam yupo kashika popcorn anatafuna taratibu huku akiwategemea mataga waingie anga zake, mbona the heague patachimbika
 
CDM wangetakiwa wamchukue huyo Mayrose kuwa mgombea mwenza kubalance gender kwahyo hawataki kura za wanawake. Kwanza wanaume wenyewe ni wasaliti wa Mambo mengi

Anatakiwa mgombea mwenza atokee zanzibar
 
Technical foul. CCM 1 - CDM 0. Lissu anakesi, zitafufuliwa pindi akirudisha fomu NEC. NEC haitamtambua na akifanya mzaha anafungwa mpaka uchaguzi upite.
Plan B, Kwakuwa mwenyekiti amesema Wana mazungumzo na ACT ya kuachiana nafasi, kwenye urais CDM wajoin forces na Membe, nyalandu awe mgombea mwenza. Otherwise CDM watapoteza mgombea wa urais saa moja tu asubui.
Litakua kosa la karne na itakua ni njia ya ukombozi katika nchi hiii.
 
Dr slaa ni mwizi hana uadilifu wowote ule alinunuliwa kwa dola million 2 akaikimbia chadema na ukumbuke alipora mke wa mtu , dr mihogo kashenzi sana kale kazee, CCM wote wanamtaka nyalandu ili wamgalagaze wanajua ni dhaifu sana
Maneno ya kinywa Chako yawe bakora ya maisha yako.
 
Sijui kwanini but ningependa zaidi kumuona Lissu bungeni akiibua hoja, haya mambo ya urais yatampoteza kisiasa kwa hii miaka mi 5 mpaka 2025 kwa maoni yangu.

Jamaa kichwa sana kwenye kuibua madudu ya serikali na kujenga hoja, Urais kuishinda CCM kwa mfumo wa siasa ulivyo Tanzania atajipotezea muda tu
Mzee usiogope kuhusu mfumo. Watanzania wataamua otherwise nchi hii itaingia katika machafuko yasiyo na mfano


Case study : 2020 general election
 
Kwamba Salum Mwalimu ndo mgombea mwenza. Yaani ikitokea Lissu kapata changamoto ikapelekea yeye kushindwa kuongoza Salum Mwalim ndo anakuwa rais wa JMT[emoji3]. Mambo mengine yanachekesha sana
Usijinyime haki... Mama samia alikuwa wa kawaida sana kipindi cha JK lkn leo ni makamu wa Rais. Majaliwa alikuwa naibu Waziri tu lkn Leo ni WAZIRI MKUU
 
Back
Top Bottom