Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Singida kaskazini huwaambii kitu dhidi ya Nyalandu.Kwa hio hizo pesa zitafanyaje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida kaskazini huwaambii kitu dhidi ya Nyalandu.Kwa hio hizo pesa zitafanyaje mkuu?
Unamjua lisu unamsikia,huyo jamaa yenu alituma kikosi kazi risasi 36 lakini kwa uwezo wa Mwenyeezi Mungu alisavaivu. Mjiandaee tuu.moto unakujaHuyo Lisu hata kampeni hawezi kupiga, labda kama atapigiwa kampeni
Nimemdhihaki vipi boss?Acha kumdhihaki lisu
Mama Suluhu ana lipi la ajabu? Hana anachojua zaidi ya kufunga shungi tu. Ukweli mchungu nje ya cheo mama Suluhu ana umaalumu wowote?Kwamba Salum Mwalimu ndo mgombea mwenza. Yaani ikitokea Lissu kapata changamoto ikapelekea yeye kushindwa kuongoza Salum Mwalim ndo anakuwa rais wa JMT😀. Mambo mengine yanachekesha sana
Bungeni harudi. Anagombea urais ambao anajua hata upata. Haina ubishi kwamba rais atakuwa JPM kwa ushindi usiopungua 90%. Akina Lissu, Lipumba, Membe na yule wa NCCR watagawana hiyo 10% kunogesha demokrasia tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pindi unaposikia usiyempenda kaja tena View attachment 1525537
Kama kaweza kichaa atashindwa smart Lissu!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119],hawa wanaleta utani na taasisi ya Urais,yaani hao "machekibobu" waongoze nchi!!...
Eti smart..hana akili yule ndiyo maana walimchapa risasi...Kama kaweza kichaa atashindwa smart Lissu!!
Baada ya kashindwa kwa hoja solution yenu ni risasi??Eti smart..hana akili yule ndiyo maana walimchapa risasi...
Ni kichomi yani....Lisu Ni kwikwi
Una ushahidi? Kaisaidie polisi.Baada ya kashindwa kwa hoja solution yenu ni risasi??
Hii ni dalili ya udhaifu.
Acha tu mkuu... Huyu mkoloni mweusi ccm lazima aondoleweMkuu ikiwa kweli hiyo furaha kila kona Nchini itakuwa ni kubwa sana si ajabu ya kushinda hata ile ya December 9, 1961.
Tanzania hakuna polisi kuna policcm.Una ushahidi? Kaisaidie polisi.
Hata yule professor Malawi alisema hivihiviTukutane oktoba.
Hata wewe unaruhusiwa kuota.Ndoto zinaruhusiwa
Kama unalijua hilo huyo mtu wenu anagombea ili iweje?kama kila kitu ni ccm atulie tu[emoji3][emoji3]Tanzania hakuna polisi kuna policcm.