Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Dah! Mungu wangu nisamehe nilishajiapiza kwamba sitofanya ujinga tena kwenda kupiga kura lakini sasa October narudi Nzega nimchague Lisuuu wetu!

Leo moyo wangu umepata kitu unapenda! ahsanteni wajumbe.
Mm panapo health, huu mwaka ndo utakuwa first year kupiga kura kwa ajiri ya kumchagua mkombozi..
Karibu sana Ikulu Lissu utusaidie sisi graduated tunaomaanika streets
 
Maisha ni mapambano, kufumba kufumbua Lissu Rais wa mioyo ya walionewa na utawala/mfumo aliokulia.
Hii ndio sababu ya watu weusi kuota usiku na wazungu/waarabuEast's kuota mchana.
Tanzania inazidi kuimalika siku hadi siku, sisi ni mfano wa kuigwa Africa.
Hata hivyo si vibaya kupunguza matumizi ya gharama za uchaguzi hasa Uraisi kwa wapinzani kuunganisha nguvu za kumpitisha John Magufuri kama mkombozi wa kweli kwa wanyonge.
 
Muokoa jaazi wa fisiemu kasha tangulia mbele za haki .sijui nani ata waokoa OCT

SUBIRI KIDOGO
 
Tunaomba uwanja sawa wa kufanya campaign. za uchaguzi mkuu!!
 
Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Kwani hakujiandikisha 2015??? Acheni kuamisha magoli msiyempenda ndo huyo kaja. Jiandaeni tu kumkabidhi nchi kwa amani hapo October 2020
 
Chadema sanyingine wanachekesha Sana... hivi salum mwalimu ndiyo awe makamu wa rais kweli??
nayule madevu ndio awe rais zenji??? Msitutanie kimaudhi Sasa nyalandu na basilake mnampa "selasnakitu" siatarudi zake nyumbanil
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119],hawa wanaleta utani na taasisi ya Urais,yaani hao "machekibobu" waongoze nchi!!...
 
Technical foul. CCM 1 - CDM 0. Lissu anakesi, zitafufuliwa pindi akirudisha fomu NEC. NEC haitamtambua na akifanya mzaha anafungwa mpaka uchaguzi upite.
Plan B, Kwakuwa mwenyekiti amesema Wana mazungumzo na ACT ya kuachiana nafasi, kwenye urais CDM wajoin forces na Membe, nyalandu awe mgombea mwenza. Otherwise CDM watapoteza mgombea wa urais saa moja tu asubui.
Unachambua siasa hata katiba ya nchi huijui !!!!!
 
Back
Top Bottom