Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Wanahangaika tu Chadema maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa wa kuibua madudu mwaka huu ndo tunampa nchi sasa. Hakuna tena kuchezea vipaji vyetu Tanzania mwaka huu. Big Brain ndo tunawapa nchi. Vilaza wakae pembeni hukoSijui kwanini but ningependa zaidi kumuona Lissu bungeni akiibua hoja, haya mambo ya urais yatampoteza kisiasa kwa hii miaka mi 5 mpaka 2025 kwa maoni yangu.
Jamaa kichwa sana kwenye kuibua madudu ya serikali na kujenga hoja, Urais kuishinda CCM kwa mfumo wa siasa ulivyo Tanzania atajipotezea muda tu
Hakuna, Magufuli tena 2020/2025Hakuna Rais aliye madarakani aliyewahi kuvuruga utaratibu wa kukimbizwa kwa mwenge wa uhuru ama uzao wa tausi wa awali pale ikulu ya Magogoni, yaani "alpha pavo". Nafikiri itafika muda wana JF mtanielewa tu ni kwa nini huwa ninamrejea huyu ndege "tausi" ama kwa lugha ya Kilatino "pavo"
Mhe. Mgombea kesi yake lini tena?.Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1
Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika
#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Duh watu wana info za ndani. Kuna post hapa kuna jamaa alituma hizi data before watu wakaamuambia feki. Kumbe ndio zenyeweView attachment 1526263
Matokeo ya kura za wagombea Urais
(1) Tundu Lissu, kura 405
(2) Lazaro Nyalandu, kura 36
(3) Dk.Mayrose Majinge, kura 1
Maccm wenzangu wamepoteans kama Yanga walivyochapwa mabao na Simba.Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1
Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika
#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Tena nimefurahi sana alivyopitiehwa Lissu kugombea ili tutakavyomfyatua asipate kura hata robo ya kura za JPM msianze kusema angekuwa Lissu angeshinda.Sasa ni rasmi. Chama cha Mapinduzi kinaenda kuwa Chama cha upinzani hapo October 2020. Tundu Antipas Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020.
Yaliyofanyika Malawi sasa Rasmi yanaenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Ni nguvu ya umma
Weka siasa pembeni kidogo, uwe na adabu kwa wakubwa zakoJiwe akisikia mavi yanagonga chupi
Umekula hela ya mwanaume yuleee, sijui utamdanganya nini usiku, lazima akufumue marinda.Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Pesa ya kununua wajumbe Kama ccm?Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Kashatangaza kumuunga mkono TL. Tunasubiri ACT kutoa tamko la kuunganisha nguvu za kumtoa mkoloni!Nyarandu atarudi CCM au atamuunga mkono Lissu?
😂😂😂😂😂😂Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Ndoto za CHADEMA waga zinanipaga moli sana, nakumbuka Zile taarifa za 2009 ati Dr Slaa rais wa mioyo ya watuSasa ni rasmi. Chama cha Mapinduzi kinaenda kuwa Chama cha upinzani hapo October 2020. Tundu Antipas Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020.
Yaliyofanyika Malawi sasa Rasmi yanaenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Ni nguvu ya umma
Sitaki kusikia habari za kuibiwa kura baada ya tarehe 28/10/2020.Safari hii mtanyooka.