ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Hawajui kama CDM itaongoza kwa mfumo uliowekwa kikatiba na sio itaongozwa na mtu. Hata angechaguliwa mtu yoyote tu angefaa kuwa mgombea mwenza.Usijinyime haki... Mama samia alikuwa wa kawaida sana kipindi cha JK lkn leo ni makamu wa Rais. Mawajaliwa alikuwa naibu Waziri tu lkn Leo ni WAZIRI MKUU