n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Kuna watu mnaota mchana. Chadema na tundu Lissu mtaaibika tuSasa ni rasmi. Chama cha Mapinduzi kinaenda kuwa Chama cha upinzani hapo October 2020. Tundu Antipas Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo October 2020.
Yaliyofanyika Malawi sasa Rasmi yanaenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Ni nguvu ya umma
HAYA! Ila Magufuli akizingua hata punje moja tu! Nasema moja tu! TUTASEMA NAYE KIUME!Kwanza hata hiyo nafasi ya kupambana naJPM anaweza kuipata,hukumu ya kesi zake itatoka kabla ya uchaguzi na mtapigwa butwaa.
Kuwa na adabu wew..yule ni kama baba yako.Jiwe akisikia mavi yanagonga chupi
Yeye atachaguliwa tu hata kama hana hicho kitambulisho, ila kumbuka pia kuwa wakati anagombea ubunge mwaka 2915 alijipigia kura piaMh Lissu amechaguliwa kuwa mgombea wa urais 2020 kupitia chadema.
Je yeye mwenyewe anacho kitambulisho cha kupigia kura
Mwenyezi Mungu ni Mkubwa sana Sept 7, 2017 wengi tulilia sana lakini ndani ya hizi wiki mbili ametupa furaha kubwa sana. Sasa akamilishe furaha yetu October 28, 2020 kwa kuchukua Nchi.
Hakuna Rais aliye madarakani aliyewahi kuvuruga utaratibu wa kukimbizwa kwa mwenge wa uhuru ama uzao wa tausi wa awali pale ikulu ya Magogoni, yaani "alpha pavo". Nafikiri itafika muda wana JF mtanielewa tu ni kwa nini huwa ninamrejea huyu ndege "tausi" ama kwa lugha ya Kilatino "pavo"Kissu ndiye Rais ajaye. Jiwe arejee Chato kuendeleza kilimo cha viazi vitamu.
Kwa ushawishi upi alionao huyu jamaa yenu, na kalifanyia nini taifa letuAmini nakwambia. Yalitotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October Mwaka huu. CCM jiandaeni kuwa Chama pinzani. Lissu sio Mrema, Lisse sio Slaa, Lissu sio Lowassa. Huyu jamaa anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dunia haitaamini ila ndo yanaenda kutokea
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119], mnapigwa figisu moja la maana..mmeweka mgombea ana vimeo kibao[emoji3][emoji3],mtasimulia nawaambia,msilalamike humu.HAYA! Ila Magufuli akizingua hata punje moja tu! Nasema moja tu! TUTASEMA NAYE KIUME!
Usisome peke yako, ita ukoo mzima muisome.Chadema ishapoteza fursa ya kugombea!
Ngoja niisome tena ile sheria ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Unasema kalifanyia lipi taifa kwani kawai kuongoza nchi????Kwa ushawishi upi alionao huyu jamaa yenu, na kalifanyia nini taifa letu
nyie jidanganye mpaka mda huu lissu kaisha badilisha upepo wa siasa kwa 75% je mnanguvu za kurudisha upepo ukae sawa?Huyu hawezi na hataweza kuwa rais wa Tanzania labda jua lianze kuchomoza toka kaskazini kwenda kusini
Ila we jamaa wew sijui kwa nin nikiona post zako zotezote huwa sizisomi, nikiona user name yako naivuka, you are too political..!Hongera sana kwa uamuzi huu wa busara.
Hahahaaaa........ Ngoja tuone bwashee!Usisome peke yako, ita ukoo mzima muisome.
Mataga mmeanza kuhaha ila mtake msitake Lissu hamuwezi kumkwepa october 2020
Safari hii mtanyooka.Huyu hawezi na hataweza kuwa rais wa Tanzania labda jua lianze kuchomoza toka kaskazini kwenda kusini
Wajumbe siyo watu....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mwanzo Nyarandu alishinda sasa kawa wa mshindi wa pili? Au wajumbe walibadilishwa?!
Hahaha mataga mmeisha sijui mtaambia nini watu.Hahahaaaa........ Ngoja tuone bwashee!