ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Hawajui kama CDM itaongoza kwa mfumo uliowekwa kikatiba na sio itaongozwa na mtu. Hata angechaguliwa mtu yoyote tu angefaa kuwa mgombea mwenza.Usijinyime haki... Mama samia alikuwa wa kawaida sana kipindi cha JK lkn leo ni makamu wa Rais. Mawajaliwa alikuwa naibu Waziri tu lkn Leo ni WAZIRI MKUU
Hapa tunaangazia maslahi ya taifa. Siyo mapenziiSimpendi lissu.
Haya. Tulia tuyaone.Hata yule professor Malawi alisema hivihivi
Nenda night club utawapata wengi tuu wakuwapenda ujichagulie.Simpendi lissu.
[emoji23][emoji23][emoji23] mama analifunga shungi kiutamu Sana.Mama Suluhu ana lipi la ajabu? Hana anachojua zaidi ya kufunga shungi tu. Ukweli mchungu nje ya cheo mama Suluhu ana umaalumu wowote?
Sijui kwanini but ningependa zaidi kumuona Lissu bungeni akiibua hoja, haya mambo ya urais yatampoteza kisiasa kwa hii miaka mi 5 mpaka 2025 kwa maoni yangu.
Jamaa kichwa sana kwenye kuibua madudu ya serikali na kujenga hoja, Urais kuishinda CCM kwa mfumo wa siasa ulivyo Tanzania atajipotezea muda tu
Wapemba wanavompenda Lissu kuliko wanavompenda Seif. Utetezi wake kwa Masheikh na mfumo wa muungano hauna mfano!Kashatangaza kumuunga mkono TL. Tunasubiri ACT kutoa tamko la kuunganisha nguvu za kumtoa mkoloni!
Utampishahe mtu anayeta ka kumpeleka maendeleo kwa wana CCM tu... Unless unataka waipishe CCM....!!Maisha ni mapambano, kufumba kufumbua Lissu Rais wa mioyo ya walionewa na utawala/mfumo aliokulia.
Hii ndio sababu ya watu weusi kuota usiku na wazungu/waarabuEast's kuota mchana.
Tanzania inazidi kuimalika siku hadi siku, sisi ni mfano wa kuigwa Africa.
Hata hivyo si vibaya kupunguza matumizi ya gharama za uchaguzi hasa Uraisi kwa wapinzani kuunganisha nguvu za kumpitisha John Magufuri kama mkombozi wa kweli kwa wanyonge.
Huyu hawezi na hataweza kuwa rais wa Tanzania labda jua lianze kuchomoza toka kaskazini kwenda kusini
Simpendi lissu.
Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Awamu hii patachimbika, hakuna kauli ya "tumuachie Mungu". Hata uvumilivu nao una kikomo.Kama unalijua hilo huyo mtu wenu anagombea ili iweje?kama kila kitu ni ccm atulie tu[emoji3][emoji3]
Huo uvumi kauongelea leo, tafta crip uangalie, sio kuvumisha ujinga huoTarehe 28 mtu anapandishwa kizimbani kesi inaonekana mshtakiwa ana kosa la kujibu anahukumiwa miezi kadhaa jela dhamana inapigwa dana dana kwa mda mchache ili mtu kwenye urais ainekane hafai maana tayari katiba inasema mgombea urais asiwe na kosa aú doa lolote ambalo alishafikishwa/kushtakiwa mahamakani hapo tayari doa kwake hafai.hivi mnaijua serikali nyie?
Safari hii ninyi WEZI WA KURA tutabanana bampa to bampa, Tundu Lissu sio kama Lowassa alivyokubali zile hujuma za akina LUBUVA.Hivi we kwa akili yako unadhani lissu anaweza kuwa Rais??
Kwahiyo walivyo nunuliwa kwa pombe na pilau, hivyo washindi wamechaguliwa na pombe na pilau? [emoji23]Kwa mujibu wa kauli ya Rais Tundu Lissu..... Chadema hakuna wajumbe mkuu wale walikua viongozi
Wajumbe wapo ccm walikua wananunuliwa kwa pombe na pilau
Hahahahaha!!!Kama ulikula Pesa ya Nyalandu ya kuja Kumkapenia hapa JF na ulimuahidi kuwa atashinda tu ili ule zingine tafuta sasa namna ya Kumrejeshea tu.