Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Binafsi naamini tukiweka mapenzi/chuki pembeni bado Tundu Lissu hana kiwango cha kucheza ligi moja na Magufuli kwenye uchaguzi.
Kwa miaka yote mitano Magufuli pamoja na mambo mengine amepambana kuhakikisha anajiweka kwenye mind za ‘wapiga kura’ kiasi kwamba huwezi kuwaambia chochote kumharibia wakakuelewa.
Naongelea wapiga kura, sio sie wa JF tumejaa kelele tu lakini hatuwezi kusimama juani hata masaa mawili kumpigia kura Tundu Lissu.
Kwa uchaguzi free and fair Magufuli atashinda kwa 70%+ lakini kwakua fitna pia hazikosekani naamini atashinda kwa 85%+
 
Elf 10-20 inakosesha kiongozi bora, halafu hapo hapo wakisha kunywa na kulea zikiisha kichwani shida ziko pale pale uwiii!
Ukienda vijijini wale wazee hawana uwezo hata wa kujinunulia nguo maana hata korosho zao wanazurumiwa na ccm Unakuta muda wote kavaa t-shirt ya ccm...... 🤣🤣

Ccm wana dhambi sana.....
 
Ni wale tu 'WANACHADEMA LIALIA' ndiyo watakaompigia kura Lisu.
 
Kwa mujibu wa kauli ya Rais Tundu Lissu..... Chadema hakuna wajumbe mkuu wale walikua viongozi

Wajumbe wapo ccm walikua wananunuliwa kwa pombe na pilau
Hahaha.. kwa hiyo anataka kusema yeye amechaguliwa na Viongozi?

Nyalandu anajua ni wajumbe wa kamati kuum
 
Elf 10-20 inakosesha kiongozi bora, halafu hapo hapo wakisha kunywa na kulewa zikiisha tu pombe kichwani shida ziko pale pale uwiii!
Sasa Kama kama ngozi akichaguliwa tu anahamia Dar kwa Nini usile tu hata hiyo 10?
 
Ukienda vijijini wale wazee hawana uwezo hata wa kujinunulia nguo maana hata korosho zao wanazurumiwa na ccm Unakuta muda wote kavaa t-shirt ya ccm...... [emoji1787][emoji1787]

Ccm wana dhambi sana.....
Jamani mpaka huruma ukiwaona wanavyowarundika kwenye ma pickup na center mmmm kwenda kupiga kura [emoji23][emoji23], watoto wao wawe wanaelimisha jamani ila kuna tuzee tubishi kweli!
 
Jamani mpaka huruma ukiwaona wanavyowarundika kwenye ma pickup na center mmmm kwenda kupiga kura [emoji23][emoji23], watoto wao wawe wanaelimisha jamani ila kuna tuzee tubishi kweli!
Hii ndo laana ya ccm na mwisho wa ulaghai wao Umefika maana tumepata mpambanaji wa uhakika
 
Hahaha.. kwa hiyo anataka kusema yeye amechaguliwa na Viongozi?

Nyalandu anajua ni wajumbe wa kamati kuum
Nyalandu kachemka....... Lissu ana akili nyingi sn. Kukusaidia ni kwamba hajataka waitwe km maccm
 
Sasa Kama kama ngozi akichaguliwa tu anahamia Dar kwa Nini usile tu hata hiyo 10?
Wangekuwa wana wapa mashart ya kuchaguliwa, ila mbunge wa jimbo nililozaliwa yupo hapo hapo hajawahi ondoka, kuna mmoja waliwahi iba kura akashinda walimwambia hivi siku ukija na gari lako utaondoka na ringi za tairi yule mbunge hata aite mkutano sokoni alikuwa akiishia kutizama Ngoma tu za watumbuizaji basi
 
Hii ndo laana ya ccm na mwisho wa ulaghai wao Umefika maana tumepata mpambanaji wa uhakika
Nao hawa tabia ya kuhama hama mnamchagua mtu baadaye anahama chama jamani si dharau kabisa kwa wapiga kura japo mie sina chama kambi popote.
 
Ukienda vijijini wale wazee hawana uwezo hata wa kujinunulia nguo maana hata korosho zao wanazurumiwa na ccm Unakuta muda wote kavaa t-shirt ya ccm...... [emoji1787][emoji1787]

Ccm wana dhambi sana.....
Naumizwaga sana na hii kitu mkuu!

Yaani wazee, walevi, vibaka, choka mbaya woooote ndo wavaa jezi za ccm tangu kampeni mpaka miaka yote mi5 ya kutawaliwa, wao wapogo tu ndani ya mboga mboga doh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…