Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda vijijini wale wazee hawana uwezo hata wa kujinunulia nguo maana hata korosho zao wanazurumiwa na ccm Unakuta muda wote kavaa t-shirt ya ccm...... 🤣🤣Elf 10-20 inakosesha kiongozi bora, halafu hapo hapo wakisha kunywa na kulea zikiisha kichwani shida ziko pale pale uwiii!
Hebu acha kuishi kwa uongo uongo wewe.
Kuna swali lolote la maana?
We umeshajichagulia buzi?Nenda night club utawapata wengi tuu wakuwapenda ujichagulie.
Ni wale tu 'WANACHADEMA LIALIA' ndiyo watakaompigia kura Lisu.
We umeshajichagulia buzi?
Hahaha.. kwa hiyo anataka kusema yeye amechaguliwa na Viongozi?Kwa mujibu wa kauli ya Rais Tundu Lissu..... Chadema hakuna wajumbe mkuu wale walikua viongozi
Wajumbe wapo ccm walikua wananunuliwa kwa pombe na pilau
Kesho asubuhi nakupitia hapo ufipa tuende bandarini, ha ha ha.Hutaki au?
Sasa Kama kama ngozi akichaguliwa tu anahamia Dar kwa Nini usile tu hata hiyo 10?Elf 10-20 inakosesha kiongozi bora, halafu hapo hapo wakisha kunywa na kulewa zikiisha tu pombe kichwani shida ziko pale pale uwiii!
Jamani mpaka huruma ukiwaona wanavyowarundika kwenye ma pickup na center mmmm kwenda kupiga kura [emoji23][emoji23], watoto wao wawe wanaelimisha jamani ila kuna tuzee tubishi kweli!Ukienda vijijini wale wazee hawana uwezo hata wa kujinunulia nguo maana hata korosho zao wanazurumiwa na ccm Unakuta muda wote kavaa t-shirt ya ccm...... [emoji1787][emoji1787]
Ccm wana dhambi sana.....
Hii ndo laana ya ccm na mwisho wa ulaghai wao Umefika maana tumepata mpambanaji wa uhakikaJamani mpaka huruma ukiwaona wanavyowarundika kwenye ma pickup na center mmmm kwenda kupiga kura [emoji23][emoji23], watoto wao wawe wanaelimisha jamani ila kuna tuzee tubishi kweli!
Nyalandu kachemka....... Lissu ana akili nyingi sn. Kukusaidia ni kwamba hajataka waitwe km maccmHahaha.. kwa hiyo anataka kusema yeye amechaguliwa na Viongozi?
Nyalandu anajua ni wajumbe wa kamati kuum
Wangekuwa wana wapa mashart ya kuchaguliwa, ila mbunge wa jimbo nililozaliwa yupo hapo hapo hajawahi ondoka, kuna mmoja waliwahi iba kura akashinda walimwambia hivi siku ukija na gari lako utaondoka na ringi za tairi yule mbunge hata aite mkutano sokoni alikuwa akiishia kutizama Ngoma tu za watumbuizaji basiSasa Kama kama ngozi akichaguliwa tu anahamia Dar kwa Nini usile tu hata hiyo 10?
Kesho asubuhi nakupitia hapo ufipa tuende bandarini, ha ha ha.
Nao hawa tabia ya kuhama hama mnamchagua mtu baadaye anahama chama jamani si dharau kabisa kwa wapiga kura japo mie sina chama kambi popote.Hii ndo laana ya ccm na mwisho wa ulaghai wao Umefika maana tumepata mpambanaji wa uhakika
Tusisumbuane. Tukutane oktoba.Hatutaki kutuletea mikosi ya lumumba ofisini kwetu
Naumizwaga sana na hii kitu mkuu!Ukienda vijijini wale wazee hawana uwezo hata wa kujinunulia nguo maana hata korosho zao wanazurumiwa na ccm Unakuta muda wote kavaa t-shirt ya ccm...... [emoji1787][emoji1787]
Ccm wana dhambi sana.....