Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Wapinzani hamna sera,hakuna mtu wa kuwapa nchi ccm oyee JPM mitano tena
 
Tulieni basi mbona mihemko sana. Uchaguzi bado alafu tiyari mmeshatangaza matokeo? mambo siyo marahisi namna hiyo
 
Baada ya uchaguzi mkuu Lisu unaingia ikulu na unaenda kua rais wa kwanza kutoka chama pinzani ombi langu kwako kama nikiwa hai utabiri wangu uulipie gharama yoyote nitayo kwambia wa Tz kuna maajabu yanakuja baada ya uchaguzi Mkuu huu Lisu ndie Rais wenu afu kuna watu watapinga ila ukweli ndio huo muda utaongea sio mwana siasa mm ila imetokea kutabili kumbukeni jf nzima nilie tabili hii ni Mimi uzi huu usifutwe uwe kumbukumbu mkifuta niitauandika tena Rais mh Lisu una deni langu na kudai 4/8/202 2:54
 
Nakushauri usiwe unatumia lugha za matusi kwenye mijadala kama hii; baada ya uchaguzi bado utakuwa na hao hao unaowatukana. Kuna mwungwana mmoja wa busara alisema unapopanda mlima kumbuka kuwasalimia unaowakuta njiani kwani huenda utawakuta tena wakati unatelemka ukiwa umechoka.

Mijadala kama hii ungetumia kibwagizo kimoja tu kuwa "Haya; tutaonanana baada ya uchaguzi siku chache zijazo!" kuliko kutoa matusi kama mtu asiyekuwa na akili timamu.
 
Ninasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
huyo kaijage tutahamia nyumbani kwake atuambie ni nani mpaka atuchagurie raisi. tutamuuriza ana hisa ngapi kwenye hili taifa ambazo ni nyingi kuriko wananchi wengine. watanzania tunatakiwa kujitambuwa tusiruhusu mtu tunaye mlipa mshahara kwa kodi zetu atuamulishe badala ya kunyenyekea. huu utawala wa Magufuli umetudharau sana yani kila kiongozi anona wananchi kama watoto. yaani eti juzi nasikia mwenyekiti wa ccm anawakaripia wananchi kule mtwara eti walikosea kuchaguwa kiongozi wa upizani ndio maana hajajenga stand. halafu wajinga wanashangiria. mtu unatembelea gari na unasindikizwa na msurulu wa magari yaliyo jaa maasikari. Na kila kitu kuanzia mishahara mavazi mafuta na magari yote yamegharimia na wananchi halafu unakuwa na kiburi cha kuwafokea? kweli tulikosea kuchaguwa raisi wa aina hiyo asiye kuwa na shukurani wala utu hata wakujuwa nani amemupa cheo.
 
Mtu kama ni mjinga kumwambia ni mjinga ni matusi? Uliona ameandika nini hadi nikamwambia nilichomwambia?
Umekuwaje Leo unakosa umakini wakuona hoja imesimamia wapi?
Anyway, siandiki kukufurahisha wewe bali naandika fikra zangu.
 
Mtu kama ni mjinga kumwambia ni mjinga ni matusi? Uliona ameandika nini hadi nikamwambia nilichomwambia?
Umekuwaje Leo unakosa umakini wakuona hoja imesimamia wapi?
Anyway, siandiki kukufurahisha wewe bali naandika fikra zangu.
Jibu hili linarudia yale yale uliyokwoti, ila nilikuwa natoa ushauri tu; una haki ya kuukubali au kuukataa na wala hukuwa na haja ya kuhamishia lugha hiyo kwangu.Samahani!! niko chini ya miguu yako.
 
Jibu hili linarudia yale yale uliyokwoti, ila nilikuwa natoa ushauri tu; una haki ya kuukubali au kuukataa na wala hukuwa na haja ya kuhamishia lugha hiyo kwangu.Samahani!! niko chini ya miguu yako.

Pole kwa kukwazana. Ningekuwa sikufahamu misimamo yako nisingeshangaa, lakini kwa vile naufahamu umakini wako ndio maana nimejiuliza kulikoni?
Nadhani hukuipitia vizuri hoja asilia iliyozaa yote.
Yameisha, nami niwie radhi na Mimi.
 
Wana JF

Salaam za kheri na Baraka.Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Jumanne ambapo jiji la Dar es Salaam Kuna pilikapilika za Mkutano Mkuu wa Chama Kikuu Cha Upinzani nchini Chadema.

Pamoja na mambo mengine Mkutano Mkuu huu unatarajiwa kupokea na kuidhinishwa jina la Mgombea Urais kupitia chama hiki ambapo hapo Jana Baraza Kuu lilimchagua kwa asilimia 91% Tundu Antipass Lissu kuwa mgombea wake.

Kuna kila aina ya shamrashamra hapa katika viunga vya Mlimani City huku bendera za chama zikipamba eneo hili na vikundi vya ngoma vikitumbuiza usiku kucha.

Kama kawaida tutaendelea kuwafahamisha yake yote yatskayojiri.

Karibuni Sana...
 
AHSANTE SANA.
Ni furaha iliyoje kusimama na Lisu Kutokomeza utawala dhalimu.
 
Twende na Lisu the Great ameonesha uwezo na anastahili anao ujasiri na yupo tayari kuponya vidonda vya walioumizwa na anapenda haki kwa kila binadamu,Ameonesha uwezo wa kuwa na uchungu wa rasilimali za taifa tangu 1997 amezipigania ili ziwe faida kwa wanzania hivyo uwezo wake sio wa kutilia shaka
 
Pole kwa kukwazana. Ningekuwa sikufahamu misimamo yako nisingeshangaa, lakini kwa vile naufahamu umakini wako ndio maana nimejiuliza kulikoni?
Nadhani hukuipitia vizuri hoja asilia iliyozaa yote.
Yameisha, nami niwie radhi na Mimi.
Asante sana; najua kuna watu wanatafuta magomvi mitandaoni ambayo huwa hayajengi. Wengine wanakuja kusoma fulani kaandika nini ili kuanza ubishi badala ya kusoma hoja na kujibu kwa hoja. Ni kweli huwa kuna post nyingi kwenye thread siwezi kusoma zote ila zile nitakazosoma ambazo nina uwezo wa kujibu, huwa nazijibu; kwa bahati mbaya nilijibu ya kwako.
 
Unamjua lisu unamsikia,huyo jamaa yenu alituma kikosi kazi risasi 36 lakini kwa uwezo wa Mwenyeezi Mungu alisavaivu. Mjiandaee tuu.moto unakuja
Wewe ndiye unamjua si ni mme wako huyo ndio sababu kila wakati unamwaza badala ya kuwaza familia yako, badala ya kuwaza jinsi gani unatengeneza future ya watoto wako, umeng'ang'ana kumpa tigo Lisu
 
Chadema mumeweka mgombea lofa mtashindwa uchaguzi mapema asubuhi
Mitano kwa Jiwe INATOSHA. Kwa miaka hii mitano tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hizo ni zaidi ya wizi wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tulipopata uhuru, ujasiri wa kupamba na kusifu MHALIFU wa kiwango hicho unautoa wapi Mkuu?
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania...
Mbona kikao hakikuwa huru na uwazi ?
No video streaming?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…