Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulieni basi mbona mihemko sana. Uchaguzi bado alafu tiyari mmeshatangaza matokeo? mambo siyo marahisi namna hiyoView attachment 1526530
Tunaandika humu kama Masihara hivi , lakini huu ndio ukweli unaotarajiwa kutokea nchini Tanzania .
Huyu Salum Mwalimu huyu aliyenusurika kuuawa kwenye sakata la uchaguzi wa Kinondoni , ambapo risasi iliyomlenga ikapeperuka na kumuua Akwilina anaenda kuwa Makamu wa Rais , hii ni baada ya Tundu Lissu kushinda Uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2020.
Usicheze na Mungu ndugu yangu , utaumia kama itakavyoumia ccm , kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Mungu akijibu maombi kwa haraka sana ! mara nyingi hujibu maombi lakini kwa taratibu sana , kwanini haya amejibu haraka ?
Nakushauri usiwe unatumia lugha za matusi kwenye mijadala kama hii; baada ya uchaguzi bado utakuwa na hao hao unaowatukana. Kuna mwungwana mmoja wa busara alisema unapopanda mlima kumbuka kuwasalimia unaowakuta njiani kwani huenda utawakuta tena wakati unatelemka ukiwa umechoka.Jee umejigundua ulivyo mjinga? Maana hayo maneno ya kijinga yanatolewa na watu kama Shilole kwenye kitchen party zao!
Kamati kuu ya Chadema ni chombo makini, Baraza kuu ni chombo huru na Mkutano mkuu ni wa wanachama wa Chadema wakipendao chama chao sio kama "Wajumbe" wa ccm wapendao matumbo yao.
Siku nyingine usiandike upuuzi kulinganisha mambo yenu ccm na ya Chadema.
2020 wananchi wanajitambua na wamechoka umasikini wao huku wanaangalia ndege zimelundikwa Airport.
View attachment 1526537View attachment 1526538
huyo kaijage tutahamia nyumbani kwake atuambie ni nani mpaka atuchagurie raisi. tutamuuriza ana hisa ngapi kwenye hili taifa ambazo ni nyingi kuriko wananchi wengine. watanzania tunatakiwa kujitambuwa tusiruhusu mtu tunaye mlipa mshahara kwa kodi zetu atuamulishe badala ya kunyenyekea. huu utawala wa Magufuli umetudharau sana yani kila kiongozi anona wananchi kama watoto. yaani eti juzi nasikia mwenyekiti wa ccm anawakaripia wananchi kule mtwara eti walikosea kuchaguwa kiongozi wa upizani ndio maana hajajenga stand. halafu wajinga wanashangiria. mtu unatembelea gari na unasindikizwa na msurulu wa magari yaliyo jaa maasikari. Na kila kitu kuanzia mishahara mavazi mafuta na magari yote yamegharimia na wananchi halafu unakuwa na kiburi cha kuwafokea? kweli tulikosea kuchaguwa raisi wa aina hiyo asiye kuwa na shukurani wala utu hata wakujuwa nani amemupa cheo.Ninasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Mtu kama ni mjinga kumwambia ni mjinga ni matusi? Uliona ameandika nini hadi nikamwambia nilichomwambia?Nakushauri usiwe unatumia lugha za matusi kwenye mijadala kama hii; baada ya uchaguzi bado utakuwa na hao hao unaowatukana. Kuna mwungwana mmoja wa busara alisema unapopanda mlima kumbuka kuwasalimia unaowakuta njiani kwani huenda utawakuta tena wakati unatelemka ukiwa umechoka.
Mijadala kama hii ungetumia kibwagizo kimoja tu kuwa "Haya; tutaonanana baada ya uchaguzi siku chache zijazo!" kuliko kutoa matusi kama mtu asiyekuwa na akili timamu.
Jibu hili linarudia yale yale uliyokwoti, ila nilikuwa natoa ushauri tu; una haki ya kuukubali au kuukataa na wala hukuwa na haja ya kuhamishia lugha hiyo kwangu.Samahani!! niko chini ya miguu yako.Mtu kama ni mjinga kumwambia ni mjinga ni matusi? Uliona ameandika nini hadi nikamwambia nilichomwambia?
Umekuwaje Leo unakosa umakini wakuona hoja imesimamia wapi?
Anyway, siandiki kukufurahisha wewe bali naandika fikra zangu.
Lugha hizo hazisaidii mjadala kuhusu mwelekeo wa kitaifa.Chadema mumeweka mgombea lofa mtasjindwa uchaguzi mapema asubuhi
Magufuli atashinda, ila Lisu ataunogesha uchaguzi. Raha ya uchaguzi ni kuwe na wapinzani wawili wa kweliChadema mumeweka mgombea lofa mtasjindwa uchaguzi mapema asubuhi
Jibu hili linarudia yale yale uliyokwoti, ila nilikuwa natoa ushauri tu; una haki ya kuukubali au kuukataa na wala hukuwa na haja ya kuhamishia lugha hiyo kwangu.Samahani!! niko chini ya miguu yako.
Asante sana; najua kuna watu wanatafuta magomvi mitandaoni ambayo huwa hayajengi. Wengine wanakuja kusoma fulani kaandika nini ili kuanza ubishi badala ya kusoma hoja na kujibu kwa hoja. Ni kweli huwa kuna post nyingi kwenye thread siwezi kusoma zote ila zile nitakazosoma ambazo nina uwezo wa kujibu, huwa nazijibu; kwa bahati mbaya nilijibu ya kwako.Pole kwa kukwazana. Ningekuwa sikufahamu misimamo yako nisingeshangaa, lakini kwa vile naufahamu umakini wako ndio maana nimejiuliza kulikoni?
Nadhani hukuipitia vizuri hoja asilia iliyozaa yote.
Yameisha, nami niwie radhi na Mimi.
99%Binafsi naamini tukiweka mapenzi/chuki pembeni bado Tundu Lissu hana kiwango cha kucheza ligi moja na Magufuli kwenye uchaguzi...
Wewe ndiye unamjua si ni mme wako huyo ndio sababu kila wakati unamwaza badala ya kuwaza familia yako, badala ya kuwaza jinsi gani unatengeneza future ya watoto wako, umeng'ang'ana kumpa tigo LisuUnamjua lisu unamsikia,huyo jamaa yenu alituma kikosi kazi risasi 36 lakini kwa uwezo wa Mwenyeezi Mungu alisavaivu. Mjiandaee tuu.moto unakuja
Mitano kwa Jiwe INATOSHA. Kwa miaka hii mitano tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hizo ni zaidi ya wizi wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tulipopata uhuru, ujasiri wa kupamba na kusifu MHALIFU wa kiwango hicho unautoa wapi Mkuu?Chadema mumeweka mgombea lofa mtashindwa uchaguzi mapema asubuhi
Mbona kikao hakikuwa huru na uwazi ?Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania...