Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

unaijua CHADEMA wewe? muadilifu dr. slaa alitupwa pembeni akateuliwa fisadi lowasa kugombea urais. CHADEMA wanachotaka ni pesa, hayo mambo ya kupendwa na watu sio kipaumbele chao!
Dr slaa ni mwizi hana uadilifu wowote ule alinunuliwa kwa dola million 2 akaikimbia chadema na ukumbuke alipora mke wa mtu , dr mihogo kashenzi sana kale kazee, CCM wote wanamtaka nyalandu ili wamgalagaze wanajua ni dhaifu sana
 
Kwa nini mkutano mkuu usipigie kura hayo majina matatu?
 
Dr slaa ni mwizi hana uadilifu wowote ule alinunuliwa kwa dola million 2 akaikimbia chadema na ukumbuke alipora mke wa mtu , dr mihogo kashenzi sana kale kazee, CCM wote wanamtaka nyalandu ili wamgalagaze wanajua ni dhaifu sana
Angebakije chadema alambe viatu vya mliyemtuhumu ni fisadi kwa miaka 10 mzee Edo?
 
Samahani nje ya mada,hivi Magufuli nae anafadhiliwa na nani au baada ya miaka mitano kishakuwa tajiri?
 
Maswali ya kamati kuu yatakuwa

Lissu una sh ngapi za campaign? 15,000Tsh

Nyalandu una ngapi? 15bnTsh

Nyalandu atapewa tu

And that 15bn italiwa vizuri na mzee wa KIA na Nyagi
Huo uzushi wa kijinga sana, nyalandu ni chaguo la CCM wanajua nyalandu ni dhaifu mno hawezi kumshinda hata Membe, CCM watashukuru sana endapo nyalandu atapewa nafasi ili magufuli asihangaike kuzunguka wilaya zote kupiga kampeni.
 
Nyalandu hajui kitu hana uwezo wa kujenga hoja kwa kifupi nyalandu ni dhaifu CCM watachekelea sana endapo atapitishwa kwani watajua wanaepuka gharama ya kufanya kampeni kila sehemu kwa Tanzania.
 
CCM yote wapo kwa nyalandu wapo tayari kutoa pesa nyalandu apite ili wapumzike kufanya kampeni kubwa ya Urais kwani wanajua nyalandu ni dhaifu mno watachukua ushindi Asubuhi pasipo shaka
 
[SUP]mzee Hashim wa chauma anaweza kumshinda nyalandu kwa wingi wa kura licha ya nyalandu kujiandaa na Rushwa [/SUP]
 
Kuchagua Lissu kupeperusha bendera ni sawa na kucheza Kamari, TL hawezi kupita kwenye chujio la Tume ya Uchaguzi kwa vile hakidhi vigezo na masharti ya mgombea Urais JMT
 
unaijua CHADEMA wewe? muadilifu dr. slaa alitupwa pembeni akateuliwa fisadi lowasa kugombea urais. CHADEMA wanachotaka ni pesa, hayo mambo ya kupendwa na watu sio kipaumbele chao!
Kama Lowasa hakuwa na mtaji wa watu alipataje kura milioni sita na usher?.
 
Kama ni kweki- ashindwe na alegee...kutafsiri sheria ni kazi ya mahakama ... Kaijage rudi benchi uendelee na ujaji ukiruhusiwa
Halafu Mahakama ikishatafsiri, yeye anafanyafanyaje sasa baada ya kuwa ameijua tafsiri hiyo?? Na kwa sababu yeye naye pia ni mwanasheria, assuming tafsiri hiyo alikuwa anaijua tayari,... anafanyafanyaje tena sasa kutokea hapo kwenye ujuzi wake wa tafsriri husika na kuendelea mbele?
 
Majina jinsi yalivyojipanga ndio Matokeo yatakavyokuwa
Lissu, Nyalandu, Mayrose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…