Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Ikiwa kweli itakuwa kosa kubwa Sana chadema wamefanya au itafanya niamini wajumbe wamepewa ahadi ya hongo ndefu na tiss.
 
Sikuizi hizi nakupenda kwasababu upo neutral sio kama zaman [emoji28][emoji28]
 
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.

Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-

"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
 
Kama ni kweli basi state machinery itakuwa imefanya kazi behind the scene kununua wajumbe kwa donge nono
 
CCM ndiyo wanamtaka Nyalandu CCM ndiyo wanahaha nyalandu apenye wanajua nyalandu ni dhaifu hawezi kumshinda hata membe wa ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…