Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Ikiwa kweli itakuwa kosa kubwa Sana chadema wamefanya au itafanya niamini wajumbe wamepewa ahadi ya hongo ndefu na tiss.
 
Kwa wajumbe kwa jinsi Nyalandu alivyofanya kampeni na kugawa pesa basi kishashinda. Ila kwenye Urais wa JMT CCM watafurahi sana maana watapita nae kama upepo. Nyalandu hawezi hata kumshinda Membe. Magufuli ndo kabisa,huyu Nyalandu arudishe kwanza Twiga wetu.
Sikuizi hizi nakupenda kwasababu upo neutral sio kama zaman [emoji28][emoji28]
 
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.

Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-

"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
 
CCM ndiyo wanamtaka Nyalandu CCM ndiyo wanahaha nyalandu apenye wanajua nyalandu ni dhaifu hawezi kumshinda hata membe wa ACT
 
Back
Top Bottom