Hakika..yaani ni jinsi gani tulivyo na akili za matope!Huu ni upumbavu wa hali ya juu kumpitisha nyalandu
Kwa wenzetu tubabagwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika..yaani ni jinsi gani tulivyo na akili za matope!Huu ni upumbavu wa hali ya juu kumpitisha nyalandu
HakikaAcha Nyalandu, hata ashinde yeye na mkewe, bado Nyalandu ni ccm na hakuna mpinzani wa kumpigia kura.
Unaota ndoto za mchana.Lazaro Nyalandu ameshinda kura za maoni na kumbwaga mpinzani wake Tundu Lissu.
Breaking ndio nini?Lazaro Nyalandu ameshinda kura za maoni na kumbwaga mpinzani wake Tundu Lissu.
Wanahangaika mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fisiemu mna kazi!
Sikuizi hizi nakupenda kwasababu upo neutral sio kama zaman [emoji28][emoji28]Kwa wajumbe kwa jinsi Nyalandu alivyofanya kampeni na kugawa pesa basi kishashinda. Ila kwenye Urais wa JMT CCM watafurahi sana maana watapita nae kama upepo. Nyalandu hawezi hata kumshinda Membe. Magufuli ndo kabisa,huyu Nyalandu arudishe kwanza Twiga wetu.
CCM ndiyo wanamtaka Nyalandu CCM ndiyo wanahaha nyalandu apenye wanajua nyalandu ni dhaifu hawezi kumshinda hata membe wa ACTHabari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.
Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-
"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
Siku zote nipo neutral.Sikuizi hizi nakupenda kwasababu upo neutral sio kama zaman [emoji28][emoji28]
WAO KWA WAO MZEE BABAHao wezi ni wa kura ni wa chama hicho hicho?
CCM kwa gharama zote wamewekeza huko wanamtaka Nyalandu dhaifu wapate kurejea ikulu bila ushindaniKama ni kweli basi state machinery itakuwa imefanya kazi behind the scene kununua wajumbe kwa donge nono