Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Kwa manyanyaso ya ma dc wanayoyafanya dhidi ya Lisu, mashabiki wake na viongozi wake, natangaza kumpigia Lisu kura na mbunge wa chadema.

Huu upuuzi wa wana ccm kujiona wana haki kuliko watu wengine nimechoka. Sasa ntachagua mabadiriko ili ccm nao wajifunze adha ya kuwa wapinzani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
hoja yako ni ipi hapo mwali?
 
Ccm ikakusanya rambi rambi kisha.......
 
Mwamba Ni mwamba anatoa maamuzi on the spot yaani lolote linaweza kutokea mda wowote na likapatiwa jibu
Na bado huwa linawatoa kimasomaso waliokaa na kulisuka kwa mda mrefu
 
Vp tena kulikoni?? Je umegundua nn ukaamua kuandika ulichokiandika? Pole sana.
 
Kuna kiongozi mkubwa WA ccm kabla ya uchaguzi tutamsahau. In shaa Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…