Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Kwa manyanyaso ya ma dc wanayoyafanya dhidi ya Lisu, mashabiki wake na viongozi wake, natangaza kumpigia Lisu kura na mbunge wa chadema.

Huu upuuzi wa wana ccm kujiona wana haki kuliko watu wengine nimechoka. Sasa ntachagua mabadiriko ili ccm nao wajifunze adha ya kuwa wapinzani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .

Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA.

Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
hoja yako ni ipi hapo mwali?
 
msiba hamkwenda kura ndizo mwaenda tafuta msiba mlioususa?
Tayari ameshavuka na kapokelewa kitemi
FB_IMG_1602665902572.jpg
 
Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .

Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA.

Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
Ccm ikakusanya rambi rambi kisha.......
 
Mwamba Ni mwamba anatoa maamuzi on the spot yaani lolote linaweza kutokea mda wowote na likapatiwa jibu
Na bado huwa linawatoa kimasomaso waliokaa na kulisuka kwa mda mrefu
 
Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .

Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA.

Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
Vp tena kulikoni?? Je umegundua nn ukaamua kuandika ulichokiandika? Pole sana.
 
Kuna kiongozi mkubwa WA ccm kabla ya uchaguzi tutamsahau. In shaa Allah.
 
Back
Top Bottom