Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Umemsikiliza maalim seif leo akiongea na waandishi wa habari?
Kuna mgogoro kati ya ACT na Membe
Upinzani madhubuti utatokana na uponzani wenyewe na si CCM...tulijaribu kwa EL akashinda uchaguzi then badala ya kudai ushindi wake yeye ndani ma nje ya nchi yeye anachekacheka tu.

Mwaka huu mtashangaa namna watu watakavyojitokeza kupiga kura ni balaa!!
 
IMG_20201020_123238_951.jpg
IMG_20201020_123328_161.jpg
IMG_20201020_123403_190.jpg

Chama cha Mbowe, wakala wa kina Amsterdam.
 
Masuala ya fedha yamekaguliwa na CAG hajawahi ona ufisadi ila nyie darasa la 7 ndio mnajua financial statement za CHADEMA?
Hilo jengo ni mali ya CHADEMA toka 2012 na jengo la jirani limenunuliwa kupanua ofisi. Ssa mnapodai wamepanga naona mmeharibu credibility ya bango lenu.
Mnatafuta sana kashfa kwa Lissu mmekosa sasa mnaforce kumchomeka kokote hahahahha. Ni hivi Lissu ni msafi na mzalendo hakuna namna mtamchafua.
 
Huu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.

Kwa nini Membe?

1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.

Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
Lissu anatosha, huyu mwingine wakimpa patachimbika
 
Wanafanya utalii ni wale wanaoandamana na malaya kina shilole wakiwaita wasanii.huna haya wala soni mtu alikuwa kwenye matibabu unasema alikuwa anakula bata?? Unatofauti gani na yule shetani muua watu anayejiita raisi wa wawanyonge????
Tena wamewavunjia hadi ndoa zao, wanatumia mgongo wa siasa kustarehe na wasanii mpaka wamewavunjia ndoa
 
Mtamchapa risasi ngapi safari hii?.maana aliendaga huko kuokoa uhai wake mliotaka kuundoa.eti changu Wa malunde.
Acha watuchape nchi nzima ila kura tutazilinda na wakituzingua barabarani tunaingia bila woga
 
Back
Top Bottom