Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinzani madhubuti utatokana na uponzani wenyewe na si CCM...tulijaribu kwa EL akashinda uchaguzi then badala ya kudai ushindi wake yeye ndani ma nje ya nchi yeye anachekacheka tu.Umemsikiliza maalim seif leo akiongea na waandishi wa habari?
Kuna mgogoro kati ya ACT na Membe
Magufuli akiunguruma Same
labda kama anashinda njaaAtashinda na atatangazwa , japo kwa kuchelewa
Masuala ya fedha yamekaguliwa na CAG hajawahi ona ufisadi ila nyie darasa la 7 ndio mnajua financial statement za CHADEMA?View attachment 1606235View attachment 1606237View attachment 1606239
Chama cha Mbowe, wakala wa kina Amsterdam.
Andiko hili linahusu uzi huu huu ?View attachment 1606235View attachment 1606237View attachment 1606239
Chama cha Mbowe, wakala wa kina Amsterdam.
Paka wa Lumumba watadai npicha za Malawi......!!sema wew huna iman naye msha zoeya kuwa kama mapunda endeleeniView attachment 1606092
Hujui na uelewi siasa ndiyo maana unaleta akili za facebook hapa, kaoge ujiandae kwenda chuo.Weeeee ndio umewaza utopolo kabisa yaani lissu ashinde apewe membe watakiwa hawajipendi
Kawaichia akina Sylvester Paul....heheeLeo January anapasuka jane lowasa njoo huku
Nina hakika Mgombea fulani wa chama kikubwa akishindwa uchaguzi huu atakufa.tuanze kujifunza mapambio ya kuipeleka ktk 'nyumba yake ya milele'! 🤣
AminaKanyaga twende TAL. Mungu akutangulie.
Tume ilisema wiki moja kabla chadema fungueni Harambee maalum kwa ajili ya mawakala.Mawakala wetu wa Chadema waende kuapishwa sisi hapa Geita tumechanga fedha za Chakula kwa ajili ya mawakala
Hasa polepole pale anaposema vieteeeCCM tutaimiss sn baada ya tarehe 28/10/2020
Tutasherekea haswaasoon Tanzania inakwenda Kulipuka kwa SHANGWEE ...historia inakwenda KUANDIKWA....
Lissu anatosha, huyu mwingine wakimpa patachimbikaHuu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.
Kwa nini Membe?
1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.
Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
Tena wamewavunjia hadi ndoa zao, wanatumia mgongo wa siasa kustarehe na wasanii mpaka wamewavunjia ndoaWanafanya utalii ni wale wanaoandamana na malaya kina shilole wakiwaita wasanii.huna haya wala soni mtu alikuwa kwenye matibabu unasema alikuwa anakula bata?? Unatofauti gani na yule shetani muua watu anayejiita raisi wa wawanyonge????
Acha watuchape nchi nzima ila kura tutazilinda na wakituzingua barabarani tunaingia bila wogaMtamchapa risasi ngapi safari hii?.maana aliendaga huko kuokoa uhai wake mliotaka kuundoa.eti changu Wa malunde.
Mataga kazi yao kubwa ni kupotosha, wakitoka hapo wanaenda kuchukua buku saba za urojo pale lumumbaLissu ni Mtanzania mzalendo na atabaki Tanzania. Acha kupotosha watu
Wajiandae kuupokea ufalme mpya ndani ya TanzaniaCCM inang'olewa 28/10 , jiandae kiakili , ni kweli kwamba inauma sana lakini huo ndio ukweli