We fala kweli hao si wako kazini wanasubiria abiria .umaskin uko wapi hapo ? Wajua Boda Boda zinalisha familia ngapi ?Watu wana maisha magumu hali ni mbaya lakn usiku kucha kuleta habari za vit zisizokuwa na msaada wowote.View attachment 3131229
Hakuna mtu anafanya kazi isiyo na faida ..ndio maana ukimpokonya Boda ataenda tafuta tajir mwingine au atapiga dei wakaHiyo picha pengine unaiona tu bila kuwaza undani wake. 80% ya boda wengi wao pikipiki sio zao
hizo wanaendesha kwa mkataba. nimewah kuwa na biashara hii nilikuwa na pkipiki 2 zote niliwapa watu asee
wakati wa mvua hata marejesho anakoswa na mkataba unasema kila siku alete 10k.
Muda mwinine anakwambia hela yote imeishia kwenye matengenezo tu hata kwakwe hana cha kupeleka
Mshamba haezi elewa cjui wanataka ninisisi waafrica hata kama wanatuambia tunamaisha magumu na tunaishi chini ya dolla moja ila huwa haturuhusu stress na panicking kama wao asia na wazungu africa hatujali tumejizoelea na hali zetu na Mungu nae fundi vitambi vinatoka fresh..! hapo tupo tunapiga stori za simba na yanga tukichoka tunapiga stori za gaza na israel njaa zikiuma tunaenda kwa mama ntilie tunashiba kwisha..
sahihi kabisa. lkn hiyo haiondoi uhalisiakuwa jamii yetu wengi wetu maisha ni magumu sanaHakuna mtu anafanya kazi isiyo na faida ..ndio maana ukimpokonya Boda ataenda tafuta tajir mwingine au atapiga dei waka
Mkuu hatuwezi lingana kipato hata siku moja ,
Kwa hio wanakimbia kupigana na migambo wanaenda kwa wafazili hii ni kituko c mu wa eliminate Hezbollah hapo frontWafadhili na viongozi hawapo huko Kusini mwa Lebanon.
Amani ndio utajiri number moja mkuu maisha magumu kwako tuh ..au we ni msemaji wa kaya maskini ?mbona unatulazimisha umaskini xnaasahihi kabisa. lkn hiyo haiondoi uhalisiakuwa jamii yetu wengi wetu maisha ni magumu sana
Duuh hivi mkuu kuna baadhi yenu huwa mnaamini sisi hatujui kutukana sio? mkuu ni ustaarabu ila humu kila mtu ni mtaalamu QumamakeWe fala kweli hao si wako kazini wanasubiria abiria .umaskin uko wapi hapo ? Wajua Boda Boda zinalisha familia ngapi ?
Vipigo vinatembea pande zote.Kwa hio wanakimbia kupigana na migambo wanaenda kwa wafazili hii ni kituko c mu wa eliminate Hezbollah hapo front
Hatuoni mbona zaidi ya raia na watotoVipigo vinatembea pande zote.
Sogea eneo la tukio ili uone vizuriHatuoni mbona zaidi ya raia na watoto
Duh jamaa una roho ngumu. Ndugu zako katika imani ya kiislamu wanateketea wewe bado unaleta usokolokwinyo humu.Wanaukumbi.
Hezbollah ilitoa video ya kulenga mkusanyiko wa wanajeshi wa Israel karibu na eneo la Ramya kwenye mpaka wa kusini mwa Lebanon.
View: https://x.com/warintel4u/status/1848425482041119060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kamkuta Bikira Maria peke yake😀Duh jamaa una roho ngumu. Ndugu zako katika imani ya kiislamu wanateketea wewe bado unaleta usokolokwinyo humu.
Unaambiwa yahya sinwar amekuta bikra wamekwisha huko kuzimu wewe bado unaleta ngonjera?
Nimeamini watu hawana huruma, wapalesitina mwaka sasa hawakijui kitanda wewe unaleta mkundu wako huku?
Riz ni mpumbavu sana