Live coverage on JamiiForums
Aliuliwa Yesu na hawa magaidi wa Israel,walimvalisha nepi,walimsulubu,wakamchoma mkuki,wakamdhihaki,wakamuua,na alikuja kuwakomboa,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.Itakuwa wengine,wawache hivi hivi.
 
Wishful thinking
 
Arudie tena funzo maana hawezi kueleweka kwa hamas wala hizbo
 
Sitaki kujua nani anapata faida au nani anapata hasara ninachokiomba itembee kwa miaka kama 10 hivi
Mkuu watoto huwaonei huruma yani wako hospital vingine ni vidogo lakini Wana majeraha makubwa na badegi 😭 wengine wanaumia wasiokuwa na hatia
 
Mkuu watoto huwaonei huruma yani wako hospital vingine ni vidogo lakini Wana majeraha makubwa na badegi 😭 wengine wanaumia wasiokuwa na hatia
Mazayuni unayajua? Bora wateseke sasa hatima ya maisha yao ijulikane sio manyanyaso katika ardhi yao wewe unataka wawe chini ya mzayuni kila siku kuuawa kufungwa nje nje hayo maisha gani? Bora kiwake either wapate nchi yao au pasikalike
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomee mwenyewe

3hr ago

Hezbollah Radwan Force commander in Lebanon’s Aitaroun killed in recent strike, IDF says

By Emanuel Fabian

The commander of Hezbollah’s elite Radwan Force in southern Lebanon’s Aitaroun region was killed in a recent airstrike, the IDF says.

Abbas Adnan Moslem, according to the military, was responsible for numerous rockets attacks on troops and Israeli towns, from the Aitaroun area.

The IDF says it also carried out strikes against some 200 Hezbollah targets in Lebanon in the past day.
 
Duru zinasema kuwa Iran imezijulisha nchi za kiarabu zilizo eneo hilo kuwa inajiandaa kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel.
Iran imefafanua kuwa shambulizi linalo litakuwa na nguvu sana na silaha zitakazo tumika zitakuwa na nguvu kuliko la hapo awali.
 

Attachments

  • Screenshot_20241104-105646.png
    502.6 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…