Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Nimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.

Je hii ndio demokrasia ndani ya chama kinachojiita cha demokrasia??

POVU RUKSA
Siku hizi ni marufuku kupita bila kupingwa?
 
Huyu Dorcas Francis anastahili viti maalum kwa kweli, ana vigezo vyote vya kuwa kiongozi wa kitaifa.
 
Duh Mwambigija A.K.A mzee wa upako? Dah asije susa tu na kujiunga CCM huwa namkubali sana huyu jamaa.

Nilitamani pia mwaka huu Mwakibinga angetinga bungeni sijui akaingia tamaa gani kapotea kabisa kwenye siasa.
Ngoja tusubiri chama kitaamuaje maana wajumbe wamempa Sophia Mwakagenda.

Mwakibinga naona hata kwenye watia nia hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…