Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Gombea bwana usijishushe.Ahaaaa. Jaduong tulia huu mwaka ni balaa. Mimi sigombei kiti chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gombea bwana usijishushe.Ahaaaa. Jaduong tulia huu mwaka ni balaa. Mimi sigombei kiti chochote.
Siku hizi ni marufuku kupita bila kupingwa?Nimeshangaa kuona wagombea ubunge kupitia Chadema zaidi ya watano wakiwa wamepitishwa kwa kura za "NDIO" bila uwepo wa wagombea shindani.
Je hii ndio demokrasia ndani ya chama kinachojiita cha demokrasia??
POVU RUKSA
Haiko hivyo, ndio maana ya kuachiana vijiti. Sio kila mwaka mgombee wote. Mwaka 2015 kila mwanaChadema alitaka uongozi kulikuwa na ugomvi mkubwa sana,maana waliokatwa walichukia.Gombea bwana usijishushe.
Waislamu wanafundisha madrasa..mawaziri wa Magu wangapi waislamu pelekeni watoto wenu elimu duniaMBONA WAKRISTO TUU? AU NI UCHAGUZI WA PAROKIA?
Huyu Dorcas Francis anastahili viti maalum kwa kweli, ana vigezo vyote vya kuwa kiongozi wa kitaifa.Jimbo la kawe..
Mshindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge CHADEMA Jimbo la Kawe ni Halima Mdee mwenye kura 63 (71.5%) akifuatiwa na Doricus Mwilafi mwenye kura 13 (14.7%), Joel Mwakalebela kura 7 (7.9%) na Felsta Njau kura 5 (5.6%)View attachment 1507006
Kwani umeumia Mdau.......... kwa jirani kunakuhusu...Naona unapiga debe upate mgao wako, ila ubunge mtausikilizia kwenye bomba chadema mkiendelea na ujinga wenu huo
Kweli kabisa ........Esther Bulaya ni mchaga wa Moshi mjini 😀Cdm kila Kona kawekwa mchaga
Bila kupingwa?angechapisha fomu zaidi ya moja ndio angeona kama asingepata mshindani.Mbona kawaida hata mapombe kapita bila kupingwa
Ngoja tusubiri chama kitaamuaje maana wajumbe wamempa Sophia Mwakagenda.Duh Mwambigija A.K.A mzee wa upako? Dah asije susa tu na kujiunga CCM huwa namkubali sana huyu jamaa.
Nilitamani pia mwaka huu Mwakibinga angetinga bungeni sijui akaingia tamaa gani kapotea kabisa kwenye siasa.
The Boss, fahamu kwamba CHADEMA si kama CCM ambao wanapitisha hata waliokataliwa na wapiga kura. Sisi tunafuata maoni ya wapiga kura!Huyo Mrema atapitishwa
😂😂Twende na wenje huyo owawa arusi zake hapa comfort hotel ..mwanza
Kusambaza ofa za bia
Upo rorya muda huu?
Hii kitu round hii mbona mapema sana Chadema wanapita nayo.Upo rorya muda huu?
Wenje ni kifaa, na atashinda Ryora!Matokeo ya kura za maoni ya ubunge CHADEMA Rorya ni Kama ifuatavyo;
1. Ezekia Dibogo Wenje 189 (66%)
2. Stephen Juma Owawa 62 (21%)
3. Passy Mwita Sanya 29 (10%)
Wapiga kura walikuwa 283.
Siasa ni sayansi!Wenje kawakimbia wana-Mwanza?