mkuu mimi mmoja natosha kuwasambaratisha chadema wote!! ubongo wangu ni special!! wewe tu ndo hunijui!! hebu ona hapa mko wangapi mnajibu hoja zangu mimi mmoja tena kwa kejeli bila hoja!! nani kakwambia nalipwa? sihitaji pesa ya chama mimi mzalendo tu nasi wazalendo tunataka wahuni kina DJ Makengeza waache kuhadaa watu warudi night club!!Oops kumbe lengo ni malipo, basi jitahidi uwe unatumia ubongo... kama unao.
yaani hata ukitukanwa hujui! kweli we ni punguani, ngoja nikuazime akili kidogo, lete hoja zako sema uharo maana yake nini? yaani sema katika hoja zangu uharo ni nini pale kwa hoja mbadala!! una elimu level gani? nakusihi rudi jukwaani kwako mapenzi na mahusiano!Kwahiyo wewe unajivunia kuharisha jukwaani!!
Farasi au mbwa mwitu wanaingiaje hapa, ndo wewe hula uharo wao.? nauliza tu!
hoja za kipuuzi ni zipi? how do you examine na kujua huu ni upuuzi? upuuzi ni nini? Je upuuzi unahusiana na DJ Makengeza?Hoja yangu ni wew kuacha hoja za kipuuzi
Asiekua na LA maana in mamako aliekuzaa wewe mbwia unga.Hata Freeman mbowe anapaswa kupigwa chini tu hana lolote la maana
Mkuu amka! chadema is a horse who is making his last kick! huoni wajanja kina Mnyika hawagombei washasoma upepo! bora kubaki na heshima kuliko kugombea na kubwagwa! Bora hata ungesema ACT ina afadhali!Mungu ibariki chadema tunaipenda Sana bado tunaiona ndio mkombozi ndio maana wanaonewa na vyombo vya dola ya nchi yetu chini ya mkoloni mweusi CCM.
Unalijua kabila la Agness Lambert?UKABILA UKABILA UKABILA
Mkuu amka! chadema is a horse who is making his last kick! huoni wajanja kina Mnyika hawagombei washasoma upepo! bora kubaki na heshima kuliko kugombea na kubwagwa! Bora hata ungesema ACT ina afadhali!
[/QUOu
Muda utaamua mnavyouhujumu hata Mungu anaona
Halafu mbona wanawake wanashinda sana kura za maoni hapo Dar kwa CHADEMA, naona kwa leo tu kuna Agness Lambart ameshinda Segerea, Susan Lymo Kinondoni, na Lucy Magereri huko kigamboni, bado hatujaongelea kawe ambapo mdee lazima atachukua, kuna ukonga alishindaga Asia Msangi dhidi ya Waitara na najua hata this time atashinda. Wanaume wa Dar wa CHADEMA mnakwama wapi?
We ni mpuuzi tu...you are completely naive and ruined from natural inclination. Ebu jitazame ulivyo boya mpaka unakosoa uumbaji wa Mungu eti makengeza.....loh huu ni upuuzi wa kukosa hojahoja za kipuuzi ni zipi? how do you examine na kujua huu ni upuuzi? upuuzi ni nini? Je upuuzi unahusiana na DJ Makengeza?
Huyo aliyepata kura sifuri inamaana hata yeye mwenyewe hajajipigia kura?
Au utaratibu wa kura hizo wagombea hawakuruhusiwa kujipigia kura?
Poa, shakupataSiyo mjumbe
Ili inisaidie nini?Unalijua kabila la Agness Lambert?