Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Basi by these results, tunabadili lugha, WANAUME NI MALAYA, . Ukiacha yote bado wanawake wamekuwa wajengaji hoja wazuri bungeni g, Mdee, Bulaya etc ;wasiwasi wangu ni Je watapata uungwaji mkono katika mfumo dume?
This time Kamati kuu wakizingua tutawaambia waache ujinga mijanaume imetuabisha sana this time pumbaf zao!
 
View attachment 1506003

Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Wanachama wengi wa Chadema wanawaamini wakina mama kutokana na msimamo wao thabiti wa kutetea chama chao, inaaminika wanaume wengi wanajiuza kwa bei chee.

Mifano ni mingi, James Millya, Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza.
Utakuwa mpango wa bwana mkubwa wanawake washinde uchaguzi ili apate posho za kutosha. Ila hawatapenya kuingia bungeni.
 
Dogo jifunze kuandika kwa heshima hao wanaume unaosema wanajiuza kuna waliopoteza maisha yao kwa sababu ya CHADEMA.

Kuna waliopoteza kazi zao kwa sababu ya chadema.

Unaandikaje upuuzi kama huu dhidi ya wanachama wa chama chako ?

Au chama siku hizi kinahost wahuni kama yale makopo ya mbogamboga ?

Futa hii kauli yako siyo nzuri kwa wanachama wengine hasa wanaume.
Kwahiyo unapinga kwamba wanaume wengi wa chadema ni Malaya wa kisiasa wanafikiri kwa kutumia utumbo! nani waliongoza kuunga juhudi
 
Nadhani chadema haina shida, tatizo unavania uxi usio kuhusu. Ebu nendeni mkafute machozinya wanaume wenzenu maana hiinsio kawaida wanaume kulia.
Ushamba gani ? Chadema mnazingua mjipange tu. Mana nishawambia Tabia ya umbowelism na Mteilism inawatafuna.
IMG-20200711-WA0008.jpeg
 
Silinde na lijualikali wamekuwa mfano mbaya kabisa katika jamii yenye kuamini msimamo wa mwanaume
Siku hizi Kuna wamama wanaota mizuzu.. Wote walokubali kununuliwa inawezekana ni wamama wenye ndevu. Inafaa wahakikiwe
 
Achague ubunge au ukurugenzi
Mtaleta mambo ya Anatropia na Dc mtatiro
Ruzuku imeisha june 2020 mishahara haipo anatafuta tawi la mti la kukamata na uwezekano wa chadema kupata ruzuku haupo tena sababu chaweza kisipate mbunge au diwani .Kwa hiyo anahaha kutafuta ajira ukurugenzi haulipi tena!!
 
Uzuri wa chadema,Sultani Mbowe anawadekshia tuu,mkimaliza kuparurana anaingia kwenye kamati kuu na karatasi zake ambazo tayari ameshateua wagombea ubunge na wale wa viti maalum,kazi yao ni kupitisha tu
Mbowe hawezi kumtosa Mrema,wameiba nae sana tu
Vipi kule ukanda wa mboga mboga mmetoa fomu ngapi za urais
 
View attachment 1506003

Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Wanachama wengi wa Chadema wanawaamini wakina mama kutokana na msimamo wao thabiti wa kutetea chama chao, inaaminika wanaume wengi wanajiuza kwa bei chee.

Mifano ni mingi, James Millya, Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza.
Paulina pekee ndiyo aliuza utu wake kwa upande wa wanawake, hata hivyo anapumlia mashine
 
Uchunguzi binafsi nilioufanya ni kuwa chadema imeficha taarifa za ukweli wa kilichotokea
ni hivi matokeo yalitakiwa yaandikwe hivi

1.Idadi ya wajumbe wanaostahili kupiga kura kwenye eneo husika ni kadhaa
2.Waliopiga kura ni kiasi kadhaa
3.kura zilizopigwa kiasi kadhaa
4.Kura zilizoharibika kiasi kadhaa
5.Kura ambazo kila mgombea kapata kiasi kadhaa

Walichoficha chadema ni hiyo namba moja ambayo mimi ndio nimeigundua kuwa wanachadema wengi kwenye maeneo wameisusa chadema hawakwenda kupiga kura kabisa.Waliopiga kura hawafikii hata asilimia kumi ya waliotakiwa kwenda kupiga kura ya maoni!!!!

Pili wanaume walisusa kwenda kura za maoni Akina mama wengi ndio walienda kupiga kura sababu wengi wana vikundi vyao vya akina mama mitaani vya kusaidiana,kitchen party,send off,vicoba nk ( AKINA MAMA SHUGHULI) hivyo walihamasishana kuwa akina mama shime twende tukamsaidie mwanamama mwana kikundi mwenzetu!! wengi walioshinda akina mama wameshinda kupitia akina mama wa vikundi vyao .Na hii ni kazi ya Halima Mdee aliwahamasisha akina mama kutumia mitandao yao ya kivikundi mitaani kushinda

Tatu kuna FEMINIST MOVEMENT ndani ya Chadema iliyo chini ya Halima Mdee na ESTHER BULAYA na inakuwa funded na feminist movement za nje imesaidia kutoa support ya wanawake wengi CHADEMA kushinda

Tutarajie wanawake wengi sana kuwashinda wanaume kura za maoni Chadema
Wanaipiga kura ni wajumbe wa Mkutano husika. Usiendelee kuwa Mbumbumbu
 
Mkuu kuna mahali kuna mfumo dume kama mkoa wa Mara?
Lakini sasa hivi wamebadilika na kuwajua wanawake mashujaa, ndio maana Bulaya na Matiko walikubalika.
Ila hawa WANAUME MALAYA wanatuondolea kuaminika kabisa hata katika familia. Nasikia kuna familia wanaume wanaambiwa "umekuwa kama Shilinde au Waitara" au pia wanaambiwa "unatuletea tabia za Nassari huoni aibu?"View attachment 1506106
Emb ona haya majike takataka na yanatabasamu kabisa. Ona hilo jingine na mtumbo wake. Aisee kuna mjianaume Chadema ilikuwa kama mishoga tuuu kazi kuabudu!
 
Cdm baba lao kwa demokrasia iliyo tukuka
View attachment 1506003

Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Wanachama wengi wa Chadema wanawaamini wakina mama kutokana na msimamo wao thabiti wa kutetea chama chao, inaaminika wanaume wengi wanajiuza kwa bei chee.

Mifano ni mingi, James Millya, Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza.
 
Back
Top Bottom