Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Wanawake Majasiri Kifua Mbele kuongoza Mapambano _v_️_microphone_ ( 640 X 640 ).jpg


Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Wanachama wengi wa Chadema wanawaamini wakina mama kutokana na msimamo wao thabiti wa kutetea chama chao, inaaminika wanaume wengi wanajiuza kwa bei chee.

Mifano ni mingi, James Millya, Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza.
 
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa tiketi ya Chadema.

Jumla ya 128

Kura za Hapana 2

Kura za Ndio 126

Kura zilizoharibika Hakuna

Bulaya alikuwa ni mgombea pekee kama JPM

Maendeleo hayana vyama!

Anastahili sana
 
Uzuri wa chadema,Sultani Mbowe anawadekshia tuu,mkimaliza kuparurana anaingia kwenye kamati kuu na karatasi zake ambazo tayari ameshateua wagombea ubunge na wale wa viti maalum,kazi yao ni kupitisha tu
Mbowe hawezi kumtosa Mrema,wameiba nae sana tu
 
Kura za maoni ni mchakato wa kidemokrasia , yeyote aweza kuteuliwa kati ya wawili wa juu , Mrema kutokana na kubanwa na majukumu ya Makao Makuu hakupata hata uchochoro wa kupiga kampeni , inashangaza hata hizo kura amepataje .
Nawewe ulibanwa Jf kyela wamekugaragaza
 
Back
Top Bottom